Nape azungumzia sababu za kuchelewa kwa Vikao vya CCM, Mjini Dodoma
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akizungumza na
waandishi wa habari nje ya Ukumbi wa White House, Mjini Dodoma leo Julai
10, 2015, wakati akitoa taarifa juu ya kuchelewa kwa vikao vya CCM ambavyo
vilikuwa vianze Julai 8. Nape amesema kuwa vikao hivyo vitakuwa vikianzia
saa 4 asubuhi hii, ambapo tano bora na tatu bora ya Wagombea itafahamika
leo.
No comments:
Post a Comment