Pages

May 7, 2015

UMOJA WA ULAYA(EU) NA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI(EAC)WAADHIMISHA USHIRIKIANO WAO JIJINI ARUSHA JANA

Naibu Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki(Miundombinu)Dk Enos Bukuku akihutubia jumuiya ya wanafunzi wa vyuo Vikuu mkoani Arusha katika madhimisho ya Siku ya Umoja wa Ulaya(EU) na Jumuiya ya Afrika Mashariki(Eac)iliyofanyika makao makuu ya EAC mkoani Arusha,katikati ni Naibu Katibu Mkuu,(Utawala na Fedha)Liberat Mfumukeko na Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini,Filiberto Sebregondi.Picha zote na Filbert Rweyemamu wa www.rweyemamuinfo.blogspot.com
Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini(EU)Filiberto Sebregondi akizungumza katika maadhimisho hayo kulia ni Naibu Katibu Mkuu mpya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki(Utawala na Fedha)Liberat Mfumukeko

Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini(EU)Filiberto Sebregondi(kushoto))akipongezana na  Naibu Katibu Mkuu mpya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki(Miundombinu)Dk Enos Bukuku baada ya kutoa hotuba yake.

Jumuiya ya wanafunzi wa vyuo vikuu mkoa wa Arusha wakiwa kwenye maadhimisho ya Siku ya Umoja wa Ulaya(EU) na Jumuiya ya Afrika Mashariki(Eac)

Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini(EU)Filiberto Sebregondi(kulia)akifurahia  jambo na Naibu Katibu Mkuu mpya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki(Utawala na Fedha)Liberat Mfumukeko 

Jumuiya ya wanafunzi wa vyuo vikuu mkoa wa Arusha wakiwa kwenye maadhimisho ya Siku ya Umoja wa Ulaya(EU) na Jumuiya ya Afrika Mashariki.





No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...