Askari wa Jeshi la Tanzania wakiaga miili ya askari waliofariki huko DRC.
Jeshi
la umoja wa mataifa linalolianda amani kaskazini mashariki mwa nchi ya Kongo DRC wameanza harakati za kusafirisha miili ya askari wawili wa
kitanzania kuja kuzikwa nyumbani baada ya kuuwawa katika shambulio la
kigaidi huko beni.
No comments:
Post a Comment