Waziri
mkuu wa zamani na mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa akitoa salamu zake
kwenye sherehe za miaka 51 ya muungano ambazo ziliandaliwa na jumuiya
ya watanzania wanaoishi katika Falme za kiarabu (UAE) Sherehe hizo
zimefanyika leo Jumamosi ya mkesha wa kuamkia tarehe 26 siku ya
muungano, katika hoteli ya Shangrila mjini Dubai
No comments:
Post a Comment