Waziri wanchi ofisi ya waziri mkuu (TAMISEMI), Hawa Ghasia, amesema
leo Jumatano Desemba 17, 2014, kuwa hatajiuzulu ng’o kutoka wadhifa
wake, kufuatia kashfa ya kuvurugika kwa uchaguzi wa serikali za mitaa
kwenye baadhi ya maeneo hapa nchini Jumapili iliyopita. Badala yake,
waziri Ghasia amesema wakurugenzi watano wamefutwa kazi, huku wenghine
kadhaa wamesimamishwa na wengine kushushwa vyeo.
Waziri Ghasia, akitoka kwenye cnhumba cha mkutano na waandishi wa habafri mara baada ya kuzungumza nao
Waziri Ghasia na katibu mkuu wa TAMISEMI, Jumanne Sagini
Tangazo la waziri Ghasia alilotoa leo Jumatano Desemba 17, 2014, kwa waandishi wa habari ofisini kwake jijini Dar es Salaam
Wakurugenzi watano wamesimamishwa kwazi
No comments:
Post a Comment