TAMASHA LA TIGO LAFANA BUKOBA LEO! WASANII WA ORIGINAL KOMEDi WAFUNIKA MJINI BUKOBA!
Wasanii
wa kikundi cha Original Komedi kikiwapa burudani wakazi wa mkoa wa
Kagera leo waliofurika kwenye uwanja wa Kaitaba Bukoba Mjini kushuhudia
Tamasha la Tigo welcome pack, Kampuni ya Tigo imeanzisha kifurushi cha
welcome pack kitakachomwezesha mtumiaji wa Tigo kupata muda wa maongezi
wa dakika 20, MB175, SMS bila kikomo na pesa shilingi mia 500 kwenye
akaunti yake ya Tigopesa, yote hayo kwa shilingi 1000 mteja atakaponunua
laini yake ya Tigo. Picha na Faustine Ruta wa Bukobasports.comJoti akifanya yake jukwaani!Niseme ni si seme??Wasanii
wa Original Comedy wakiwapa buradani wananchi waliohudhuria Tamasha
hilo katika uwanja wa Kaitaba Bukoba Mjini leo Jumapili Novemba 9,
2014. Picha na Faustine Ruta
wa Bukobasports.comWasanii wa Original Comedy wakiendelea kutoa Burudani jukwaani Msanii
wa Original Comedy Joti akipandwa na jazba jukwaani wakati wanatoa
Burudani kwenye Uwanja wa Kaitaba leo Jumapili Jioni wakati wa Tamasha
la Tigo.Walianza
Visa hapo Jukwaani baada ya kuachia Burudani ya Kutoka kwa Wimbo wa
Yamoto Band wimbo wao wa Niseme" na hapo mambo yakaendelea kushika kasi
jukwaani. Picha na Faustine Ruta wa Bukobasports.comBaadae
baada ya Muziki huo kumalizika Kundi hilo likaendelea kushusha Burudani
ya Ukweli mbele ya Umati wa Wakaazi waliopata nafasi ya Kuhudhuria
Tamasha hilo katika uwanja wa Kaitaba Bukoba Mjini leo Jumapili Novemba
9, 2014. Wateja walipata fursa ya kupata huduma mbalimbali
kutoka kwenye vibanda vya Tigo vilivyopatikana Uwanjani hapo.Baadhi ya Wasanii wa kikundi cha Original Komedi wakishambulia jukwaa!Wasanii wa kikundi cha Original Komedi wakitoa Burudani jukwaani leo.Sehemu
ya Umati mkubwa uliofurika kwenye Tamasha hilo la Tigo Welcome Pack
kwenye Uwanja wa Kaitaba Bukoba Mjini leo jumapili jioni.WAKUVANGA (Mama BERE au Baba Andunje) kwa furaha jukwaani wakati akitoa burudani.Seki
akisalimiana na Umati huo uliofurika kwenye Tamasha hilo la Tigo
Welcome Pack kwenye Uwanja wa Kaitaba. Tamasha la kampeni ya kifurushi
kipya cha Tigo cha welcome pack. Kampuni ya Tigo imeanzisha kifurushi
cha welcome pack kitakachomwezesha
mtumiaji wa Tigo kupata muda wa maongezi wa dakika 20, MB175,SMS bila
kikomo na pesa shilingi mia 500 kwenye akaunti yake ya Tigopesa, yote
hayo kwa shilingi 1000 mteja atakaponunua laini yake ya Tigo. Picha na
Faustine Ruta wa Bukobasports.comMsanii
wamuziki wa kizazi kipya Bongofleva Linex alipanda jukwaani kuachia
kile alichowaandalia Wananchi wa Bukoba kwenye Tamasha hilo ta Tigo
Welcome Pack.Msanii wa muziki wa kizazi kipya Bongofleva Linex akiimba
jukwaani!.Msanii
wa muziki wa kizazi kipya Bongofleva Linex akiimba mbele ya umati
mkubwa wa wakazi wa mji wa Bukoba waliojitokeza kwa wingi leo Jumapili
kwenye Tamasha la Tigo lililofanyika kwenye Uwanja wa kaitaba.Msanii Emmanuel Mgaya, Maarufu Masanja Mkandamizaji akiwapa Raha wakazi wa Mkoa wa kagera leo wakati wa Tamasha la Tigo.
No comments:
Post a Comment