Pages

November 14, 2014

SEMINA YA WAKUU WA MIKOA NA WILAYA BARA NA VISIWANI YAFUNGWA


 Waziri wa Nchi  Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara  Maalum za SMZ Mhe,Haji Omar Kheri akitoa hutuba yake ya ufungaji wa Semina ya siku tatu kwa Wakuu wa Mikoa,Wilaya,Makatibu Tawala wa Mikoa ya Zanzibar na Baadhi ya Tanzania Bara (hawapo pichani) iliyohusu Mahusiano na Mwingiliano katika siasa na Utendaji  katika  Ukumbi wa Sea Cliff Kama nje ya Mji wa Unguja.
 Wakuu wa Mikoa Bara na Visiwani wakiwa katika ugungaji wa semina yao ya siku taku iliyozungumzia Mahusiano na Mwingiliano katika siasa na Utendaji kwa Wakuu wa Mikoa,Wilaya,Makatibu Tawala wa Mikoa ya Zanzibar na Baadhi ya Tanzania bara iliyofungwa jana na Waziri wa Nchi  Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara  Maalum za SMZ Mhe,Haji Omar Kheri katika Ukumbi wa Sea Cliff  Kama nje ya Mji wa Unguja.
  Baadhi ya Wakuu wa Mikoa Bara na Visiwani wakimsikiliza Waziri wa Nchi  Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara  Maalum za SMZ Mhe,Haji Omar Kheri akitoa hutuba yake ya ufungaji wa Semina ya siku tatu kuhusu Mahusiano na Mwingiliano katika siasa na Utendaji kwa Wakuu wa Mikoa,Wilaya,Makatibu Tawala wa Mikoa ya Zanzibar na Baadhi ya Tanzania bara ufungaji huo ilifanyika  jana Ukumbi wa Sea Cliff Kama nje ya Mji wa Unguja.
 Wakuu wa Wilaya za Unguja na Pemba wakimsikiliza Waziri wa Nchi  Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara  Maalum za SMZ Mhe,Haji Omar Kheri alipokuwa akitoa hutuba yake ya ufungaji wa Semina ya siku tatu kwa Wakuu wa Mikoa,Wilaya,Makatibu Tawala wa Mikoa ya Zanzibar na Baadhi ya Tanzania Bara  iliyohusu Mahusiano na Mwingiliano katika siasa na Utendaji  katika  Ukumbi wa Sea Cliff Kama nje ya Mji wa Unguja jana.
 icha ya pamoja iliyowahusisha washiriki wa Semina ya siku tatu ya kwa Wakuu wa Mikoa,Wilaya,Makatibu Tawala wa Mikoa ya Zanzibar na Baadhi ya Tanzania Barabaada ya kufungwa na Waziri wa Nchi  Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara  Maalum za SMZ Mhe,Haji Omar Kheri katikati.
icha ya pamoja iliyowahusisha washiriki wa Semina ya siku tatu ya kwa wakuu wa  Wilaya za Zanzibar  baada ya kufungwa na Waziri wa Nchi  Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara  Maalum za SMZ Mhe,Haji Omar Kheri katika Hotel ya Sea CLiff jana. Na Mpiga Picha Maalum

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...