Pages

November 16, 2014

MWENYEKITI WA CHADEMA FREEMAN MBOWE AKIWA MKOANI MOROGORO

1Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akiwahutubia maelfu ya wananchi wa mji wa Mtibwa katika jimbo la Mvomero mkoani Morogoro, katika mkutano wa hadhara wa Operesheni Delete CCM juzi.
4Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akiwahutubia wanachi wa kijiji cha Nyandila kilichopo juu ya milima ya Uruguru mkoani Morogoro, katika mkutano wa hadhara wa Oparesheni Delete CCM juzi.

5Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akilakiwa na wanachi wa mji wa Gairo mkoani Morogoro baada ya kuwasili, ambako alifanya mkutano wa hadhara wa Oparesheni Delete CCM juzi.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...