Doreen
Kabuche akiwa na Meya wa manispaa ya Ilala, Mhe.Jerry Sila jijini Dar es
Salaam alipoenda kupongezwa kwa kuwa mwanafunzi bora aliyehitimu
Chuo kikuu cha Dar es Salaam mwaka huu..
Namnukuu Jerry Silaa......''
........''Mwaka 2011 Doreen Kabuche alimaliza Kidato cha sita,
Benjamin Mkapa na kuwa best female student . Tulimwita na nikamzawadia
laptop ya 1,500,000
Mwaka huu amekuwa best student Udsm kwa kupata GPA 4.8 kwenye shahada
adimu ya takwimu bima. Nataka tumsomeshe Masters ili kupata wataalam
wataoangalia mifuko yetu ya pension
tuache kulalamikia utendaji mbovu wakati hatusomeshi wataalam....''
No comments:
Post a Comment