Pages

November 10, 2014

MBUNGE WA MBEYA VIJINI LUCKSON MWANJALE (REV) AANGUKA GHAFLA BUNGENI

Mbunge wa Mbeya Vijijini Mh.Mchungaji Luckson Mwanjale akiwa amebebwa na wahudumu wa afya baada ya kudondoka ndani ya Jengo la Ukumbi wa Buge leo mchana.Chanzo cha kuanguka kwake huko bado hakijafahamika na sasa yupo kwenye uangalizi wa madaktari kwa uchunguzi zaidi.Taarifa zaidi baadae kidogo.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...