Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akishirikiana na viongozi mbali mbali kukata
utepe ikiwa ni ishara ya Ufunguzi wa Maonyesho ya Kimataifa ya Utalii
"Swahili International Tourism Expo (SITE)" kwenye Ukumbi wa Mlimani
City,Jijini Dar es Salaam leo Oktoba 2,2014.
Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wakati wa Ufunguzi wa Maonyesho ya
Kimataifa ya Utalii "Swahili International Tourism Expo (SITE)" kwenye
Ukumbi wa Mlimani City,Jijini Dar es Salaam leo Oktoba 2,2014.Picha zote na Othman Michuzi.
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Maimuna Tarishi akitoa hotuba
fupi kabla ya kumkaribisha Mgeni Rasmi,Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania,Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete kuja kufungua Maonyesho ya Kimataifa
ya Utalii "Swahili International Tourism Expo (SITE)" kwenye Ukumbi wa
Mlimani City,Jijini Dar es Salaam leo Oktoba 2,2014.
Mwenyekiti
wa Bodi ya Wakurugenzi ya Bodi ya Utalii Tanzania,Balozi Charles Sanga
akitoa hotuba yake wakati wa Ufunguzi wa Maonyesho ya Kimataifa ya
Utalii "Swahili International Tourism Expo (SITE)" kwenye Ukumbi wa
Mlimani City,Jijini Dar es Salaam leo Oktoba 2,2014.
Meza Kuu.
Sehemu
ya Wageni kutoka nchi mbali mbali wakifatilia kwa makini hotuba ya Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete wakati wa Ufunguzi wa Maonyesho ya Kimataifa
ya Utalii "Swahili International Tourism Expo (SITE)" kwenye Ukumbi wa
Mlimani City,Jijini Dar es Salaam leo Oktoba 2,2014.
Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiangalia namna mahindi yanavyosagwa na
kupatikana ungwa wakati alipotembelea Banda la Maonyesho ya Utalii la
Burundi,kwenye Maonyesho ya Kimataifa ya Utalii "Swahili International
Tourism Expo (SITE)" kwenye Ukumbi wa Mlimani City,Jijini Dar es Salaam
leo Oktoba 2,2014.
Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akifurahia ngoma ya utamaduni ya Taifa la
Burundi alipotembelea Banda la Maonyesho ya Utalii la Burundi,kwenye
Maonyesho ya Kimataifa ya Utalii "Swahili International Tourism Expo
(SITE)" kwenye Ukumbi wa Mlimani City,Jijini Dar es Salaam leo Oktoba
2,2014.
Mwanadada Mwenye asili ya Burundi akiwa Kabeba kikapu tayari kwa kumzawadia Mh. Rais.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akikifurahia Kibuyu kikubwa alichokikuta kwenye Banda la Utalii la Burundi.
Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Mkurugenzi wa kanda ya Afrika
wa Utalii nchini Afrika Kusini,Bi. Evelyn Mahlaba (nywele nyeupe) wakati
wa Maonyesho ya Kimataifa ya Utalii "Swahili International Tourism Expo
(SITE)" kwenye Ukumbi wa Mlimani City,Jijini Dar es Salaam leo Oktoba
2,2014.
Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akipata maenezo ya namna ya kutumia kadi ya
Benk ya CRDB kwenye huduma mbali mbali kupitia mashine maalum (Creadit
Card Machine) kutoka kwa Meneja wa Huduma hiyo,Yusto Bituro
(kushoto),wakati wa Maonyesho ya Kimataifa ya Utalii "Swahili
International Tourism Expo (SITE)" kwenye Ukumbi wa Mlimani City,Jijini
Dar es Salaam leo Oktoba 2,2014.
Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo ya Utalii kutoka kwa Afisa
Uhusiano wa Bodi ya Utalii Tanzania,Geofrey Tengeneza.
No comments:
Post a Comment