Pages

May 12, 2014

"UKAWA INAANZA TANZANIA BARA" RATIBA YA ZIARA YA AWAMU YA KWANZA YA UKAWA,


TAREHE 14 – 27 MEI 2014.
TIMU “A”- KANDA YA KATI
1. Mhe. Mosena Nyambabe (NCCR) – Katibu Mkuu,
2. Mhe. Ashura Mustapha (CUF) – Mjumbe wa Baraza Kuu,
3. John Heche (CHADEMA) – Mwenyekiti wa Vijana Taifa,
14/05/2014 MOROGORO MJINI
16/05/2014 SHINYANGA MJINI
17/05/2014 BARIADI MJINI
18/05/2014 NZEGA MJINI
19/05/2014 TABORA MJINI
20/05/2014 URAMBO
22/05/2014 NGURUKA
23/05/2014 KIGOMA MJINI
24/05/2014 MNANILA
25/05/2014 KASULU MJINI
26/05/2014 KASULU VIJIJINI
27/05/2014 KIBONDO MJINI
TIMU “B” – KANDA YA KASKAZINI
1. Dr Willibroad Slaa(CHADEMA) – Katibu Mkuu,
2. Mhe. Mustapha Wandwi (CUF) – Mjumbe wa Baraza Kuu,
3. Ahmed Msabaha (NCCR) – Mjumbe wa Halmashauri Kuu,
TAREHE ENEO LA MKUTANO
14/05/2014 MOSHI MJINI
15/05/2014 BABATI MJINI
16/05/2014 ARUSHA MJINI
18/05/2014 MUSOMA MJINI
19/05/2014 TARIME MJINI
20/05/2014 BUNDA MJINI
21/05/2014 BIHARAMULO MJINI
22/05/2014 BUKOBA MJINI
23/05/2014 KARAGWE MJINI
24/05/2014 NGARA MJINI
25/05/2014 KATORO
26/05/2014 GEITA MJINI
TIMU “C” – NYANDA ZA JUU KUSINI
1. Prof. Ibrahim Haruna Lipumba(CUF) – Mwenyekiti,
2. Mhe. Said Issa (CHADEMA) – Makamu Mwenyekiti Taifa,
3. Martin Juju Danda(NCCR) – Mjumbe wa Halmashauri Kuu,
TAREHE ENEO LA MKUTANO
15/05/2014 IRINGA MJINI
16/05/2014 MAFINGA
17/05/2014 MAKAMBAKO MJINI
18/05/2014 NJOMBE MJINI
19/05/2014 SONGEA MJINI
20/05/2014 MBINGA MJINI
22/05/2014 MBEYA MJINI
23/05/2014 MOMBA
24/05/2014 SUMBAWANGA MJINI
25/05/2014 NAMANYERE
26/05/2014 KATAVI MPANDA - MULELE (MAJIMOTO)
27/05/2014 MPANDA MJINI
Wananchi wa maeneo yote yaliyotajwa mjiandae na awamu ya kwanza ya ziara hii. Awamu ya pili itaendelea mwezi Juni na ziara za wabunge walioko bungeni mtatangaziwa.
J. Mtatiro,
Katibu wa UKAWA,
Mwenyekiti wa Kamati ya Ufundi.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...