Brass band ikiongoza maandamano ya wanadipolomasia wa nchi za Afrika, watumishi wa Serikali ya Tanzania, wanafunzi na wageni wengine waalikwa kwenda Viwanja vya Karimjee kuadhimisha Siku ya Afrika. |
Wanafunzi wakiwa wamebeba bendera mbalimbali za nchi za Afrika na ile ya Umoja wa Afrika wakiwa katika maandamano kuelekea Viwanja vya Karimjee. |
Waheshimiwa Mabalozi wa Nchi za Afrika nchini Tanzania wakiwa katika maandamano ya kuadhimisha Siku ya Afrika |
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Dkt. Mahadhi Juma Maalim (Mb) aliyevaa suti ya rangi ya kijivu akipokea maandamno katika Viwanja vya Karimjee |
Burudani ya ngoma katika Viwanja vya Karimjee kusherehekea Siku ya Afrika |
Wanadiplomasia na wananchi wengine wakimsikiliza Naibu Waziri. |
Balozi wa Kenya akichangia mada Kilimo na Usalama wa Chakula. |
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika, Dkt. Yamungu Kayandabila naye akitoa neno wakati wa maadhimisho ya Siku ya Afrika |
Balozi Sweden nchini Tanzania alipata fursa pia ya kuchangia mada katika maadhimisho hayo |
Picha ya pamoja ya Mabalozi na Mabalozi wastaafu mara baada ya sherehe za kuadhimisha Siku ya Afrika kukamilika |
Picha ya pamoja kati ya Dkt. Maalim na Wanadipolomasia. |
No comments:
Post a Comment