Pages

May 18, 2014

NYUMBA YATEKETEA KWA MOTO SINDE B MBEYA

Wananchi wakielekea eneo la tukio kwa ajili ya kuuzima moto huo kabla kikosi cha zimamoto kufika



Changamoto kwa kikosi cha zimamoto mbeya mbali ya kuwahi eneo la tukio lakini mipira ya maji ni mibovu mipira hiyo ina matundu kibao





Kikosi cha zimamoto kazini

Samani mbalimbali zimeteketea kwa moto






Faraja Damasi akipatiwa matibabu katika kituo cha afya Mwanjelwa baada ya kupata mstuko na kuzirai

Picha na Ezekiel Kamanga
Mbeya yetu

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...