Mbunge
wa Arumeru Mashariki-Chadema, Joshua Nassari alipo jumuika pamoja na
wadau wengine katika uzinduzi wa Fifi Premium Bakery jijini Arusha hivi karibuni.
SkyFoods wazindua mikate, Fifis Premium Bakery, ambayo
ilizinduliwa rasmi siku ya Jumatano Aprili 30, 2014 , katika mgahawa wao wa
Fifi Restaurant, Themi Road, karibu na TANESCO
Shefu mkuu wa Fifis ambaye ni mpishi mzoefu wa muda mrefu kutoka ufaransa Bw. Jerome Pace
Baadhi ya waanzirishi wa mgahawa huu wa Fifi Premium Bakery kutoka kushoto ni Anna, zoe glorious na Princery H glorious
Mbunge
wa Arumeru Mashariki-Chadema, Joshua Nassari akijumika pamoja na
wananchi wengine katika sherehe za uzinduzi wa Fifi Premium Bakery
No comments:
Post a Comment