BREAKING NEWZZ: GARI LA MAGAZETI YA MWANANCHI LAPATA AJALI NA KUUA MARA
"Gari la
kusambaza Magazeti ya Kampuni ya Mwananchi limegonga na kuua katika
daraja la Kirumi mpakani mwa wilaya ya Rorya na Butiama Mkoani Mara leo
asubuhi.(Picha zote na mdau wetu Augustine Mgendi)
No comments:
Post a Comment