Washiriki
wa Warsha ya siku moja ya kuadhimisha ya Siku ya Wanawake
inayoadhimishwa kila March 8 Duniani kote,Wakimsikiliza Afisa kutoka
Shirika la Wanawake Katika Sheria na Maendeleo (WiLDAF) wakati
wakijiandisha kabla ya ufunguzi wa madhimisho hayo,yaliyofanyika
mwishoni mwa wiki katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa,jijini Dar es
Salaam.
Washiriki hao wakiendelea kujiandikisha.
Mkugenzi
Mkuu wa Shirika la Wanawake Katika Sheria na Maendeleo ya Afrika
(WILDAF),Judith Odunga (kulia) akizungumza wakati wa ufunguzi wa Warsha
ya siku moja ya kuadhimisha ya Siku ya Wanawake inayoadhimishwa kila
March 8 Duniani kote,iliyofanyika mwishoni mwa wiki katika Ukumbi wa
Makumbusho ya Taifa,jijini Dar es Salaam.Wengine pichano toka kushoto ni
Lucy Marere kutoka Ubalozi wa Ireland,Mkurugenzi wa Kituo cha Sheria na
Haki za Binadamu (LHRC),Wakili Harold Sungusia,Mhadhiri wa Kitivo cha
Sheria cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,Wakili Jesse James,Kaimu
Mkurugenzi wa Maendeleo ya Jinsia katika Wizara ya Maendeleo ya Jamii
Jinsia na Watoto,Judith Kizenga pamoja na Muwakilishi wa YWCA,Itika
Mwambungu
Mhadhiri
wa Kitivo cha Sheria cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,Wakili Jesse
James akitoa mada kwenye Warsha ya siku moja ya kuadhimisha ya Siku ya
Wanawake Duniani yaliyoratibiwa na Shirika la Wanawake katika Sheria na
Maendeleo (WiLDAF),katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa,jijini Dar es Salaam





Post a Comment