Kaimu Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania,
Mystica Mapunda Ngongi akikabidhi chakula kwa Daktari bingwa wa saratani, Katika
Taasisi ya Magonjwa ya Saratani, Dk Harrison Chuwa, wakati benki
hiyo ilipotoa chakula na vifaa mbalimbali kwa ajili ya wagonjwa katika Hospitali
ya Ocean Road, Dar es Salaam kuadhimisha Siku ya Saratani Duniani. Wanaoshuhudia
ni Meneja Mahusiano wa TPB, Noves Moses (kushoto) na Msimamizi wa
Wagonjwa wa ndani Hospitalini hapo, Genoveva
Mlawa.

No comments:
Post a Comment