Keki
iliyoandaliwa na uongozi wa Benki ya CRDB tawi la Ubungo kwa ajili ya
sherehe za kutimiza miaka 2 tangu kuanzishwa kwa tawi hilo, ambapo
wateja wa benki hiyo walijumuika na wafanyakazi wa tawi hilo
kusherehekea kwa pamoja.
Meneja
Mwandamizi wa Benki ya CRDB anayeshughulika na wateja wadogo na wa
Kati, Eribariki Masuke, akikata keki wakati wa hafla ya kutimiza miaka 2
kwa tawi la Benki ya CRDB Ubungo. Kulia ni Meneja wa CRDB tawi la
Ubungo, Oswald Kweka na wa pili kulia ni Ofisa wa benki hiyo, Angelitha
Msaki.
Meneja
wa Benki ya CRDB tawi la Ubungo, Oswald Kweka akizungumza na wateja wa
tawi hilo wakati wa hafla ya kutimiza miaka 2 tangu kuanzishwa kwa
tawi hilo. Hafla hiyo ilifanyika Dar es Salaam. Wa pili kushoto ni Meneja Mwandamizi wa Benki ya CRDB anayeshughulika na Wateja Wadogo na wa Kati, Eribariki Masuke.
Meneja
Mwandamizi wa Benki ya CRDB anayeshughulika na wateja wadogo na wa
Kati, Eribariki Masuke, akikata keki wakati wa hafla ya kutimiza miaka 2
kwa tawi la Benki ya CRDB Ubungo. Kulia ni Meneja wa CRDB tawi la
Ubungo, Oswald Kweka na wa pili kulia ni Ofisa wa benki hiyo, Angelitha
Msaki.
Meneja
Mwandamizi wa Benki ya CRDB anayeshughulika na wateja wadogo na wa
Kati, Eribariki Masuke (kulia), akimkabidhi zawadi mmoja wa wateja wa
benki ya CRDB tawi la Ubungo, wakati wa hafla ya kutimiza mika 2 tangu
kuanzishwa kwa tawi hilo. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam.

Mteja wa Benki ya CRDB, Ester Lawrance (kushoto), akipokea zawadi kutoka kwa Meneja
Mwandamizi wa Benki ya CRDB anayeshughulika na wateja wadogo na wa
Kati, Eribariki Masuke wakati wa hafla ya kutimiza miaka 2 tangu
kuanzishwa kwa benki hiyo.
Maofisa wa Benki ya CRDB wakipata keki wakagti wa hafla hiyo.
Karibuni wateja wetu....Meneja Mwandamizi wa Benki ya CRDB anayeshughulika na wateja wadogo na wa Kati, Eribariki Masuke akiwapa keki wateja wa benki hiyo waliofika katika tawi la Ubungo.
No comments:
Post a Comment