Pages

November 8, 2013

WAANDISHI WA HABARI WANOLEWA NA JUMUIYA YA AFRICA MASHARIKI KUANDIKA HABARI ZA KUIMARISHA MTANGAMANO

Mtaalamu wa Vyombo vya Habari katika Jumuiya ya Afrika Mashariki(EAC)Sukhdev Chhatbar akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo kwa waandishi wa habari kutoka nchi tano za EAC,Tanzania,Rwanda,Kenya,Rwanda na Burundi yanayofanyika katika mji Mkuu wa Burundi,Bujumbura kwa siku nne.Mafunzo hayo yameandaliwa na EAC kwa ufadhili wa Shirika la Maendeleo ya Ujerumani(GIZ)


Afisa Rasilimali Watu wa GIZ-Arusha,Elizabeth Wanyoike akiwasilisha mada katika mafunzo hayo.



Waandishi wa habari,Rosemary Mirondo wa East Africa(Dar es Salaam,Balthazar Ndiwayesu,East Africa News Agency(EANA)na Peter Saramba,Mwananchi,Arusha wakibadilishana mawazo

Wawezeshaji wakijumuika na waandishi wa habari kuimba wimbo wa EAC

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...