Pages

November 11, 2013

ASASI ZA KIRAIA RWANDA ZAONGOZA KATIKA KUHAMASISHA WANANCHI KUILEWA EAC

Mkuu wa Mawasiliano katika Sekretariat ya Jumuiya ya Afrika Mashariki(EAC)akizungumza wakati wa uzinduzi wa matokeo yalionesha Asasi za kiraia nchini Rwanda zimefanya vizuri katika kuhamasisha wananchi kuilewa EAC,uzinduzi huo umefanyika katika Hotel ya Royal Palace jijini Bujumbura,Burundi

Mwandishi wa habari wa Shirika la Habari la Ujerumani(DW)Kampala,Leila Ndinda akizungumza wakati wa uzinduzi huo.

Mkuu wa Mawasiliano katika Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki nchini Burundi,Oscar Bahizi akizindua kitabu kinachoonesha asasi za kiraia Rwanda zilivyofanikiwa kuelimisha wananchi manufaa ya EAC

Baadhi ya waandishi wakifatilia uzinduzi huo.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...