Pages

November 6, 2013

SUDAN KUSINI KUJIUNGA EAC HIVI KARIBUNI

Waziri wa Fedha na Maendeleo ya Uchumi wa Sudan Kusini,Aggrey Tisa Sabuni(kushoto)akizungumza na waandishi wa habari juu ya azma ya nchi yake kujiunga na Jumuiya ya Afrika Mashariki(EAC)Katikati ni Katibu Mkuu wa EAC,Dk Richard Sezibera na Naibu Katibu Mkuu wa EAC(Fedha na Utawala)Jean Claude Nsengiyumva   

Ujumbe kutoka Sudan Kusini wakiwa kwenye kikao na Katibu Mkuu wa EAC.

Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki(EAC)Dk Richard Sezibera akizungumza na wageni waliotembelea makao makuu ya EAC jijini Arusha.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...