Pages

November 6, 2013

EAC YAPEWA MSAADA WA DOLA MILIONI 1 WB KUSAIDIA KUJENGA UWEZO WA URATIBU WA BAJETI NA USIMAMIZI

Naibu Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki(EAC),Dk Enos Bukuku(kulia)akishudia Meneja Uendeshaji wa Benki ya Dunia kanda ya Mashariki na Kusini mwa Afrika,Patricia McKenzie akiweka saini makubalino ya msaada wa dola 1 milioni.

Meneja Uendeshaji wa Benki ya Dunia,Kanda ya Mashariki na Kusini mwa Afrika,Patricia McKenzie akipongezana na Naibu Katibu Mkuu wa EAC,Dk Enos Bukuku.
Naibu Katibu Mkuu wa EAC anayehusika na Miundombinu akiwa kwenye picha ya pamoja na maafisa wa Benki ya Dunia na EAC.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...