Vijana wakiwa maji katika nyuso zao mara baada ya kupigwa kwa bomu la machozi kufuatia kuwepo kwa vurugu zilizosababisha kuchomwa moto magurudumu barabarani.
Polisi wakiwa katika ulinzi mkali
Maduka yakiwa yamefungwa
Wafanya biashara wakiwa uwanjani kungoja kusikiliza nini hatma yao
Baadhi ya watu wakiwa wanakimbia Baada ya Mabomu ya machozi kuanza kurushwa kuepusha vurugu
Mawe yakiwa yamepangwa kuzuia magari yasiende kokote
Maduka yote yakiwa yamefungwa eneo la mwanjelwa kupinga ununuzi wa mashine hizo za TRA
Jiwe kubwa likiwa limewekwa katika Barabara magari yasipite
Hali tete Tayari vijana wameanza kuchoma mataili. PICHA ZOTE NA MBEYA YETU BLOG.
No comments:
Post a Comment