Pages

October 2, 2013

NAIBU KATIBU MKUU AWANOA WANAFUNZI ATC ARUSHA LEO

Naibu Katibu Muu wa Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo,Profesa Elisante Ole Gabriel akizungumza na jumuiya ya Chuo cha Ufundi Arusha juu maswala mbalimbali zikiwemo sifa za kukubalika katika soko la ajira.

Mkuu wa Chuo cha Ufundi Arusha(ATC)Dk Richard Masika(kulia)akiwa na wanafunzi wake wakifatilia mada zilizokuwa zikitolewa na Naibu Katibu Mkuu.

Baadhi ya wanafunzi wakifatilia kwa makini mada

Baadhi ya wanafunzi wakifatilia kwa makini mada.Picha na www.rweyemamuinfo.blogspot.com

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...