Pages

September 10, 2013

UMESHAWAHI KUONA VITA KALI YA MAPIGANO YA MNYAMA CHUI NA MAMBA ?

Hatua kwa hatua mapigano makali kati ya chui na mamba, chui alitaka kumla mamba.  

Ni nadra sana kuona chui akimgeuza msosi Mamba lakini kupitia picha zifuatazo hapo chini utajionea hatua kwa hatua chui akikukuruka na mamba lengo ni kumg
euza mwenzake kitoweo cha siku. 

Chui alianza kunyata taratibu kabla ya kuogelea ndani ya maji kumfuata mamba na baadae kuanza kumrarua kwa kucha na meno jambo ambalo lilikuwa gumu kidogo.

baada ya kuona mambo yamekuwa magumu nchi kavu akaamua kumpeleke kwenye kina cha maji. tukio hili limetokea Brazil.
Chui akiwa katika mawindo dhidi ya mamba.
Chui akiogelea katika maji wakati akielekea kumfanyia vurugu mamba aliyekuwa amekaa nchi kavu. Chui akiwa amemng'ata mambo katika mkia baada ya kumvizia.

 

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...