Askari wa kike wakionesha ukakamavu wao. |
Kiongozi wa Korea ya Kusini,Kim Jong Un(kulia)akiwa na Makamu wake wa Rais na Makamu wa rais wa Zambia wakati wa gwaride la heshima likipita mbele yake mjini Pyongyong. |
Zana ya kurusha makombora ya masafa ya mbali. |
Zana za kazi na gwaride la kutimiza miaka 60. |
Hureeeeeeeeeeeeeeh |
Hawa ni raia wakionesha uzalendo wao wakiwa wameshika bendera ya nchi yao. |
Wapiganaji wastaafu wakimuunga mkono Kiongozi wao,Kim Jong Un. |
Halaiki ya Wakorea ilivyokolea |
No comments:
Post a Comment