Pages

June 22, 2013

MWENYEKITI WA TLP AUGUSTINO MREMA AMJULIA HALI NASSARU HOSPITALI YA MUHIMBILI DAR ES SALAAM BAADA YA KUSHAMBULIWA.


Mbunge wa Vunjo-TLP, Mh. Agustino Lyatonga Mrema akimjulia hali mbunge wa Arumeru Mashariki-Chadema, Joshua Nassari.Mbunge wa Arumeru Mashariki-Chadema, Joshua Nassari akionesha simu yake ya mkononi iliyokuwa na matukio ya tukio la kufavamiwa kwake.

 Mbunge wa Arumeru Mashariki-Chadema, Joshua Nassari akiwa katika hospitali ya Taifa muhimbili jijini Dar es Salaam jana akipata matibabu baada ya kushambuliwa na watu wasiojulikana wakati wa uchaguzi wa diwani Kata ya Makuyuni,wilaya Monduli mkoa wa Arusha.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...