| Meneja Mauzo wa Shirika la Ndege la Precision Air, Kanda ya Kaskazini,Joseph Haule(kulia)akimkabidhi mfano wa tiketi mchezaji wa Golf,Madina Iddy kwenda na kurudi nchini Uganda kwenye mashindano ya Entebbe Ladies Open makabidhiano yamefanyika katika ofisi zao jijini Arusha. |

إرسال تعليق