SHAMRASHAMRA ZA MAADHIMISHO YA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI (MEI MOSI ) MKOANI ARUSHA KATIKA PICHA

Sehemu ya wafanyakazi walioshiriki maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani(MEI MOSI) ngazi ya mkoa wa Arusha kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha.
Sehemu ya wafanyakazi walioshiriki maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani(MEI MOSI) ngazi ya mkoa wa Arusha kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha.
Maonesho ya magari ya Shule ya udereva yanayotolewa na Chuo cha Ufundi Arusha.

Kiwanda cha A to Z Group Limited
TTCL wakionesha vyombo vya usafiri vinavyowawezesha kufika maeneo mbalimbali kuhakikisha mawasiliano yanafikiwa.
Hospitali ya Kituo cha mikutano cha AICC jijini Arusha wakionesha huduma za dharula wanazotoa wakati wa MEI MOSI mkoa wa Arusha.
Wafanyakazi wa Chuo cha Ufundi Arusha wakipita mbele ya mgeni rasmi.
Wafanyakazi wa Kituo cha mikutano cha Kimataifa cha AICC.
TAWIRI
DEKKER 

Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA)
TTCL

Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira jiji la Arusha (AUWSA)
A to Z


Chuo cha Misitu Olmotonyi-Ngaramtoni Arusha
NSSF Arusha

Maandamano ya wafanyakazi

Mgeni Rasmi wa maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (MEI MOSI) mkoa wa Arusha,Mkuu wa Wilaya ya Arusha,Joseph Modest Mkude(aliyevaa skafu katikati) akiwa na viongozi wa vyama vya wafanyakazi .
 

Post a Comment

Previous Post Next Post