Waziri
wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), akiwasilisha
Bajeti ya Wizara yake, Bungeni Jijini Dodoma, ambapo ameliomba Bunge,
kuiinidhinishia Wizara hiyo kukusanya na kutumia shilingi trilioni
12.058, ambapo shilingi trilioni 10.763 ni kwa ajili ya matumizi ya
kawaida na shilingi trilioni 1.295 kwa ajili ya matumizi ya maendeleo,
katika mwaka wa fedha 2018/19.
Waziri
wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), akiwasilisha
Bajeti ya Wizara yake, Bungeni Jijini Dodoma, ambapo ameliomba Bunge,
kuiinidhinishia Wizara hiyo kukusanya na kutumia shilingi trilioni
12.058, ambapo shilingi trilioni 10.763 ni kwa ajili ya matumizi ya
kawaida na shilingi trilioni 1.295 kwa ajili ya matumizi ya maendeleo,
katika mwaka wa fedha 2018/19.
Baadhi
ya viongozi wa Waziri wa Fedha na Mipango, wakifuatilia Hotuba ya
Bajeti ya Wizara hiyo, ambapo Bunge limeombwa, kuiidhinishia Wizara hiyo
kukusanya na kutumia shilingi trilioni 12.058, ambapo shilingi trilioni
10.763 ni kwa ajili ya matumizi ya kawaida na shilingi trilioni 1.295
kwa ajili ya matumizi ya maendeleo, katika mwaka wa fedha 2018/19.
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt.
Philip Isdor Mpango (Mb), na Naibu wake Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb),
wakifutilia kwa makini michango ya waheshimiwa wabunge walioanza
kuchangia Bajeti ya Wizara hiyo, ambayo imeomba kudhinishiwa kiasi cha
shilingi trilioni 12.058 kwa mwaka wa fedha 2018/19, Bungeni, Jijini
Dodoma.
Mhe.
Martha Mlata, Mbunge wa Viti Maalum wa Jimbo la Singida, akimpongeza
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), baada ya
kuwasilisha Bungeni Mjini Dodoma, Hotuba ya Bajeti ya Wizara hiyo
ambapo ameliomba Bunge, kuiinidhinishia Wizara yake kukusanya na kutumia
shilingi trilioni 12.058, ambapo shilingi trilioni 10.763 ni kwa ajili
ya matumizi ya kawaida na shilingi trilioni 1.295 kwa ajili ya matumizi
ya maendeleo, katika mwaka wa fedha 2018/19
Waziri
wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), akifurahia
jambo na Mhasibu Mkuu wa Serikali, CPA Francis Mwakapalila (kushoto) na
Mkaguzi wa Ndani Mkuu wa Hesabu za Serikali, Bw. Mohammed Mtonga, nje ya
ukumbi wa Bunge Jijini Dodoma, ambapo
ameliomba Bunge, kuiinidhinishia Wizara yake kukusanya na kutumia
shilingi trilioni 12.058, kiasi cha shilingi trilioni 10.763 kikiwa kwa
ajili ya matumizi ya kawaida na shilingi trilioni 1.295 kwa ajili ya
matumizi ya maendeleo, katika Mwaka wa Fedha 2018/19
Waziri
wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), akiwa katika
Picha ya Pamoja na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Ashatu
Kijaji, Mnaibu Katibu Wakuu, Wakuu wa Idara na Vitengo na wafanyanyakazi
wengine wa Wizara hiyo, nje ya ukumbi wa Bunge Jijini Dodoma, Baada ya
kuwasilishwa kwa Bajeti ya Wizara hiyo, ya shilingi trilioni 12.058.
Naibu
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb), akiteta jambo
na Kaimu Msajili wa Hazina, Bw. Mafutah Bunini, nje ya viwanja vya
Bunge Jijini Dodoma, baada ya Wizara hiyo kuliomba Bunge,
kuiinidhinishia shilingi
trilioni 12.058, ambapo kiasi cha shilingi trilioni 10.763 kikiwa kwa
ajili ya matumizi ya kawaida na shilingi trilioni 1.295 kwa ajili ya
matumizi ya maendeleo, katika Mwaka wa Fedha 2018/19
Mkurugenzi
Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Dkt. Albina Chuwa, akizungumza jambo
na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Bi. Susana Mkapa, nje
ya Ukumbi wa Bunge Jijini Dodoma, baada ya Wizara hiyo kuliomba Bunge,
kuiinidhinishia shilingi trilioni 12.058, ambapo kiasi cha shilingi
trilioni 10.763 kikiwa kwa ajili ya matumizi ya kawaida na shilingi
trilioni 1.295 kwa ajili ya matumizi ya maendeleo, katika Mwaka wa Fedha
2018/19.(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini-Wizara ya Fedha na
Mipango-Dodoma)
No comments:
Post a Comment