Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge,Kazi, Jinana, Ajira na Wenye
Ulemavu, Jenista Mhagama akizungumza kabla ya kumkaribisha Waziri Mkuu,
Kassim Majaliwa kufungua Kongamano la Tatu la Uwezeshaji Wananchi
Kiuchumi kwenye ukumbi wa LAPF jijini Dodoma Juni 18, 2018. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofungua Kongamano la Tatu
la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi kwenye ukumbi wa LAPF jijini Dodoma
Juni 9 18, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi
ya washiriki wa Kongamano la Tatu la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi
wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipofungua Kongamano
hilo kwenye ukumbi wa LAPF jijini Dodoma Juni 18, 2018
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa na baadhi ya viongozi walioshiriki katika
Ufunguzi wa Kongamano la Tatu la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi wakipiga
makaofi baada ya Waziri Mkuu kufungua Kongamano hilo kwenye ukumbi wa
LAPF jijini Dodoma Juni 18, 2018. kutoka kushoto ni Katibu Mkuu Ofisi ya
Waziri Mkuu, Profesa, Faustine Kamuzora, Meya wa jiji la Dodoma,Profesa
Davis Mwamfupe, Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Anthony Mtaka, Waziri wa Nchi,
Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu,
Jenista Mhagama, Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi
Kiuchumi, Dkt. John Jingu, Mkuu wa mkoa wa Dodoma, Dkt. Binilith Mahenge
na Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi,
Beng'i Issa. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizinduaTaarifa ya Utekelezaji wa Sera ya Taifa
ya Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi ya Mei 2017 Mpaka Mei 2018 baada ya
kufungua Kongamano la Tatu la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi lililofanyika
kwenye ukumbi wa LAPF jijini Dodoma Juni 18, 2018. Kushoto ni Waziri wa
Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge,Kazi, Vijana, Ajira na Wenye
Ulemavu, Jenista Mhagama na kulia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la
Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi, Dkt. John Jingu. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akionesha Taarifa ya Utekelezaji wa Sera ya Taifa
ya Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi ya Mei 2017 Mpaka Mei 2018 baada ya
kuizindua katika Kongamano la Tatu la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi
lililofanyika kwenye ukumbi wa LAPF jijini Dodoma Juni 18, 2018. Kushoto
ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana,
Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama na kulia ni Mwenyekiti wa Baraza
la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi, Dkt. John Jingu.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi Mhandisi, Salome Kabunda kutoka
TANROADS Tuzo ya Uwezeshaji Kiuchumi, baada ya TANROADS kuibuka mshindi
wa kwanza katika kundi la Wizara, Wakala na Idara za Serikali kwenye
Kongamano la Tatu la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi lililofunguliwa na
Waziri Mkuu katika ukumbi wa LAPF jijini Dodoma Juni 18, 2018. Kulia ni
Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi, Dkt. John
Jingu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa kizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri
Mku, Sera, Bunge, Kazi, Vijana,Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama
(katikati) Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mku, Profesa Faustine Kamuzora
baada ya kufungua Kongamano la Tatu la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi
lililofanyika kwenye ukumbi wa LAPF jijini Dodoma Juni 18, 2018.
No comments:
Post a Comment