Pages

June 19, 2018

OFISI YA MKEMIA MKUU WA SERIKALI YAWATUNUKU WANAFUNZI WALIOFANYA VIZURI MASOMO YA KEMIA NA BAIOLOJIA KITAIFA

 Mganga Mkuu wa Serikali Profesa Mohamed Bakari akizungumza katika hafla ya kuwatunukia wanafunzi Kidato cha Nne na cha Tano waliofanya vizuri kitaifa katika masomo ya Sayansi, Baioloji na Kemia iliyofanyika kwenye makao makuu ya Wakala wa Maabara ya  Mkemia Mkuu wa Serikali barabara ya Barack Obama jijini Dar es salaam.
 Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Wakala wa Maabara  ya Mkemia mkuu wa Serikali Elen Hellen Jason akizungumza katika hafla hiyo iliyofanyika makao makuu ya mamlaka hiyo jijini Dar es salaam.Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Wakala wa Maabara  ya Mkemia mkuu wa Serikali Elen Hellen Jason akizungumza katika hafla hiyo iliyofanyika makao makuu ya mamlaka hiyo jijini Dar es salaam.
 Dk Fidelice Mafumiko  Mkemia Mkuu wa Serikali akizungumza na kutoa maelezo kadhaa wakati wa kuwatunikia zawadi wanafunzi waliofanya vizuri katika masomo ya Sayansi, Kemia na Baioloji katika hafla iliyofanyika jijini Dar es salaam.
 Picha mbalimbali zikionyesha wanafunzi wakipokea vyeti na zawadi katika hafla hiyo.
Baadhi ya wazazi wakiwa katika hafla hiyo.
Baadhi ya wanafunzi waliotunukiwa zawadi wakifuatilia hafla hiyo.
Baadhi ya wafanyakazi wa Wakala wa Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali wakiwa katika hafla hiyo
Mgeni rasmi kutoka wizara ya afya ambaye ni mganga mkuu wa serikali Profesa Mohamed Bakari pamoja na viongozi wa Wakala wa Maabara ya  Mkemia mkuu wa Serikali wakiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi hao.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...