Sehemu
ilipofanyika sherehe za uzinguzi wa ukuta kuzunguka migodi ya Tanzanite
eno la Mirelani wilaya ya Simanjiro mkoa wa Manyara leo Aprili 6, 2018
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na viongozi
wengine wakipata maelezo ya jinsi kazi ya kujenga ukuta kuzunguka
migodi ya Tanzanite eno la Mirelani wilaya ya Simanjiro mkoa wa Manyara Aprili 6, 2018
Askari
wa kikosi cha usalama barabarani akiuelekeza msafara wa Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na viongozi wengine
alipokagua sehemu ya ukuta wa kilomita 24. 5 uliojengwa kuzunguka migodi
ya Tanzanite eneo la Mirelani wilaya ya Simanjiro mkoa wa Manyara
Aprili 6, 2018
Sehemu ya ukuta wa kilomita 24. 5 uliojengwa kuzunguka migodi ya
Tanzanite eneo la Mirelani wilaya ya Simanjiro mkoa wa Manyara
Sehemu ya ukuta wa kilomita 24. 5 uliojengwa kuzunguka migodi ya Tanzanite eneo la Mirelani wilaya ya Simanjiro mkoa wa Manyara
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiwasili katika sherehe za kuzindua rasmi ukuta kuzunguka migodi ya
Tanzanite eno la Mirelani wilaya ya Simanjiro mkoa wa Manyara leo Aprili
6, 2018
Askari wa JKT walipkuwa kazini kujenga ukuta kuzunguka migodi ya Tanzanite eneo la Mirelani wilaya ya Simanjiro mkoa wa Manyara
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea
taarifa kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhe. Alexander Mnyeti wakati
wa sherehe za kuzindua rasmi ukuta kuzunguka migodi ya Tanzanite eneo
la Mirelani wilaya ya Simanjiro mkoa wa Manyara leo Aprili 6, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akipokea mfano wa funguo kutoka kwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga
Taifa Dkt. Husssein Mwinyi wakati wa sherehe za kuzindua rasmi ukuta
kuzunguka migodi ya Tanzanite eno la Mirelani wilaya ya Simanjiro mkoa
wa Manyara leo Aprili 6, 2018
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
hati ya kukabidhiwa ukuta aliyopokea toka kwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi
la Kujenga Taifa Dkt. Husssein Mwinyi wakati wa sherehe za kuzindua
rasmi ukuta kuzunguka migodi ya Tanzanite eno la Mirelani wilaya ya
Simanjiro mkoa wa Manyara Aprili 6, 2018
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia
wananchi wa sherehe za kuzindua rasmi ukuta kuzunguka migodi ya
Tanzanite eno la Mirelani wilaya ya Simanjiro mkoa wa Manyara Aprili
6, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akihutubia wananchi wa sherehe za kuzindua rasmi ukuta kuzunguka migodi
ya Tanzanite eno la Mirelani wilaya ya Simanjiro mkoa wa Manyara
Aprili 6, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akimsaidia mgunduzi wa madini ya Tanzanite Mzee Jumanne Ngoma kuketi
kitini wakati wa sherehe za kuzindua rasmi ukuta kuzunguka migodi ya
Tanzanite eno la Mirelani wilaya ya Simanjiro mkoa wa Manyara leo Aprili
6, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akikabidhi gari la wagonjwa kwa uongozi wa serikali ya Wilaya ya
Simanjiro wakati wa sherehe za kuzindua rasmi ukuta kuzunguka migodi ya
Tanzanite eno la Mirelani wilaya ya Simanjiro mkoa wa Manyara leo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli baada
ya kukabidhi gari la wagonjwa kwa uongozi wa serikali ya Wilaya ya
Simanjiro wakati wa sherehe za kuzindua rasmi ukuta kuzunguka migodi ya
Tanzanite eno la Mirelani wilaya ya Simanjiro mkoa wa Manyara leo
Aprili 6, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na
viongozi wenginme wakimsikiliza Mzee Jumanne Ngoma akitoa shukurani zake
kwa kutambuliwa na serikali na kupewa shilingi milioni 1000 na Rais
kama ahsante yake wakati wa sherehe za kuzindua rasmi ukuta kuzunguka
migodi ya Tanzanite eno la Mirelani wilaya ya Simanjiro mkoa wa Manyara
leo Aprili 6, 2018

leo Aprili 6, 2018. Kushoto ni Hassan na Asha Ngoma, watoto wa mzee huyo
Mke
wa Rais Mama Janeth Magufuli akipeana mikono na Asha Ngoma, binti wa
Mzee Jumanne Ngoma, mgunduzi wa madini ya Tanzanite wakati wa sherehe za
kuzindua rasmi ukuta kuzunguka migodi ya Tanzanite eno la Mirelani
wilaya ya Simanjiro mkoa wa Manyara leo Aprili 6, 2018
Rais
na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi hati ya
shukrani Mkuu wa Jeshi la Ulinzi Jenerali Venance Mabeyo baada ya jeshi
hilo kukamilishi mbele ya wakati ujenzi wa ukuta wenye urefu wa kilomita
24.5 kuzunguka eneo la migodi ya madini ya Tanzanite huko Mirerani
wilayani Simanjiro Mkoa wa Manyara kwenye sherehe za kuzindua ukuta huo
leo Aprili 6, 2018.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli
akimkabidhi kitambulisho cha Taifa mmoja wa wamiliki wa migodi ya
Tanzanite ili kuwawezesha kupata ruksa ya kuingia na kufanya kazi ndani
ya eneo lililozungukwa na ukuta eneo la migodi ya madini ya Tanzanite
huko Mirerani wilayani Simanjiro Mkoa wa Manyara kwenye sherehe za
kuzindua ukuta huo leo Aprili 6, 2018 .
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akifunua
pazia kuashiria uzinduzi rasmi wa ukuta wenye urefu wa kilomita 24.5
kuzunguka eneo la migodi ya madini ya Tanzanite huko Mirerani wilayani
Simanjiro Mkoa wa Manyara kwenye sherehe za kuzindua ukuta huo leo
Aprili 6, 2018.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
viongozi wengine akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa ukuta wenye
urefu wa kilomita 24.5 kuzunguka eneo la migodi ya madini ya Tanzanite
huko Mirerani wilayani Simanjiro Mkoa wa Manyara kwenye sherehe za
kuzindua ukuta huo leo Aprili 6, 2018.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitembelea
maonesho ya madini ya Tanzanite wakati wa sherehe za kuzindua rasmi
ukuta kuzunguka migodi ya Tanzanite eno la Mirelani wilaya ya Simanjiro
mkoa wa Manyara leo Aprili 6, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akitembelea maonesho ya madini ya Tanzanite wakati wa sherehe za
kuzindua rasmi ukuta kuzunguka migodi ya Tanzanite eno la Mirelani
wilaya ya Simanjiro mkoa wa Manyara leo Aprili 6, 2018
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Mjumbe wa Kamati ya kudumu ya Ulinzi na Usalama ya Bunge
na Mbunge wa Morogoro Vijijini Mhe. Prosper Mbena wakati wa sherehe za
uzinduzi wa ukuta wenye urefu wa kilomita 24.5 kuzunguka eneo la migodi
ya madini ya Tanzanite huko Mirerani wilayani Simanjiro Mkoa wa Manyara
leo Aprili 6, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akitembelea maonesho ya madini ya Tanzanite wakati wa sherehe za
kuzindua rasmi ukuta kuzunguka migodi ya Tanzanite eno la Mirelani
wilaya ya Simanjiro mkoa wa Manyara leo Aprili 6, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akitembelea maonesho ya madini ya Tanzanite wakati wa sherehe za
kuzindua rasmi ukuta kuzunguka migodi ya Tanzanite eno la Mirelani
wilaya ya Simanjiro mkoa wa Manyara leo Aprili 6, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akitembelea maonesho ya madini ya Tanzanite wakati wa sherehe za
kuzindua rasmi ukuta kuzunguka migodi ya Tanzanite eno la Mirelani
wilaya ya Simanjiro mkoa wa Manyara leo Aprili 6, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akitembelea maonesho ya madini ya Tanzanite wakati wa sherehe za
kuzindua rasmi ukuta kuzunguka migodi ya Tanzanite eno la Mirelani
wilaya ya Simanjiro mkoa wa Manyara leo Aprili 6, 2018
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe
Mama Janeth Magufuli na viongozi wengine katika picha ya pamoja na
familia ya mvumbuzi wa madini ya Tanzanite Mzee Jumanne Ngoma na wanawe
kwenye sherehe za kuzindua ukuta wenye urefu wa kilomita 24.5 kuzunguka
eneo la migodi ya madini ya Tanzanite huko Mirerani wilayani Simanjiro
Mkoa wa Manyara kwenye sherehe za kuzindua ukuta huo leo Aprili 6, 2018.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe
Mama Janeth Magufuli na viongozi wengine katika picha ya pamoja na
watendaji wa JWTZ na JKT waliosimamia kazi za ujenzi wa ukuta wenye
urefu wa kilomita 24.5 kuzunguka eneo la migodi ya madini ya Tanzanite
huko Mirerani wilayani Simanjiro Mkoa wa Manyara kwenye sherehe za
kuzindua ukuta huo leo Aprili 6, 2018.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akiaga
watendaji wa JWTZ na JKT waliosimamia kazi za ujenzi wa ukuta wenye
urefu wa kilomita 24.5 kuzunguka eneo la migodi ya madini ya Tanzanite
huko Mirerani wilayani Simanjiro Mkoa wa Manyara kwenye sherehe za
kuzindua ukuta huo leo Aprili 6, 2018.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akipiga
tumba kwenye sherehe za kuzindua ukuta huo leo Aprili 6, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiaga
wananchi baada ya sherehe za kuzindua rasmi ukuta kuzunguka migodi ya
Tanzanite eno la Mirelani wilaya ya Simanjiro mkoa wa Manyara leo Aprili
6, 2018
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiaga
wananchi baada ya sherehe za kuzindua rasmi ukuta kuzunguka migodi ya
Tanzanite eno la Mirelani wilaya ya Simanjiro mkoa wa Manyara leo Aprili
6, 2018
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiaga
wananchi baada ya sherehe za kuzindua rasmi ukuta kuzunguka migodi ya
Tanzanite eno la Mirelani wilaya ya Simanjiro mkoa wa Manyara leo Aprili
6, 2018
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe
Mama Janeth Magufuli katika picha na mvumbuzi wa madini ya Tanzanite
Mzee Jumanne Ngoma wakati wa uzinduzi rasmi wa ukuta wenye urefu wa
kilomita 24.5 kuzunguka eneo la migodi ya madini ya Tanzanite huko
Mirerani wilayani Simanjiro Mkoa wa Manyara kwenye sherehe za kuzindua
ukuta huo leo Aprili 6, 2018.
Picha na IKULU
No comments:
Post a Comment