Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Mrisho Gambo alipowasili
kuzindua kituo maalumu ya Jeshi la Polisi cha Utalii na Diplomasia
jijini Arusha ambacho kimejengwa na wadau wa utalii kwenye sherehe
zilizofanyika Aprili 7, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Mbuneg wa Viti Maalum Arusha Mhe. Catherine Magige
alipowasili kuzindua kituo maalumu ya Jeshi la Polisi cha Utalii na
Diplomasia jijini Arusha ambacho kimejengwa na wadau wa utalii kwenye
sherehe zilizofanyika Aprili 7, 2018
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipata
maelezo ya ujenzi wa kituo maalumu ya Jeshi la Polisi cha Utalii na

wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na viongozi
wengine wakiwa katika picha ya pamoja na wadau waliosaidia ujenzi wa
kituo maalumu cha Jeshi la Polisi cha Utalii na Diplomasia jijini
Arusha kwenye sherehe zilizofanyika Aprili 7, 2018
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru
mmoja wa wadau waliosaidia ujenzi wa kituo maalumu cha Jeshi la Polisi
cha Utalii na Diplomasia jijini Arusha kwenye sherehe zilizofanyika Aprili 7, 2018
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikata
utepe akiwa na viongozi wengine pamoja na wadau waliosaidia ujenzi wa
kituo maalumu cha Jeshi la Polisi cha Utalii na Diplomasia jijini
Arusha kwenye sherehe zilizofanyika Aprili 7, 2018
Msanii
Maringo wa Maringo akiwa tayari kutumbuiza wakati Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wa hafla ya uzinduzi wa
kituo maalumu cha Jeshi la Polisi cha Utalii na Diplomasia jijini
Arusha kwenye sherehe zilizofanyika Aprili 7, 2018
Sehemu
ya nyumba za makazi ya askari ya polisi za Naura zilizojengwa upya
baada ya kuteketea kwa moto kwenye sherehe zilizofanyika jijini Arusha Aprili 7, 2018

Wana
bendi ya Jeshi la Polisi kikiwa tayari kufanya kazi wakati wa sherehe
za uzinduzi wa nyumba za makazi ya askari ya polisi za Naura
zilizojengwa upya baada ya kuteketea kwa moto kwenye sherehe
zilizofanyika jijini Arusha Aprili 7, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Mkuu
wa Mkoa wa Arusha Mhe. Mrisho Gambo na Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP
Simon Sirro wakifunua pazia kuashiria kufunguliwa rasmi kwa nyumba za
makazi ya askari ya polisi za Naura zilizojengwa upya baada ya kuteketea
kwa moto kwenye sherehe zilizofanyika jijini Arusha Aprili 7, 2018
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuliakipeana
mikono na IGP Simon Sirro baada ya kuzindua rasmi kwa nyumba za makazi
ya askari ya polisi za Naura zilizojengwa upya baada ya kuteketea kwa
moto kwenye sherehe zilizofanyika jijini Arusha Aprili 7, 2018
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana
mikono na RPC wa Arsuah Charles Mkumbo baada ya kuzindua rasmi kwa
nyumba za makazi ya askari ya polisi za Naura zilizojengwa upya baada ya
kuteketea kwa moto kwenye sherehe zilizofanyika jijini Arusha
Aprili 7, 2018
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisaidiwa
na viongozi wengine akikata utepe kuashiria kufunguliwa rasmi kwa
nyumba za makazi ya askari ya polisi za Naura zilizojengwa upya baada ya
kuteketea kwa moto kwenye sherehe zilizofanyika jijini Arusha
Aprili 7, 2018
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea
baada ya kuzindua rasmi kwa nyumba za makazi ya askari ya polisi za
Naura zilizojengwa upya baada ya kuteketea kwa moto kwenye sherehe
zilizofanyika jijini Arusha Aprili 7, 2018
Jiwe
la uzinduzi wa nyumba za makazi ya askari ya polisi za Naura
zilizojengwa upya baada ya kuteketea kwa moto kwenye sherehe
zilizofanyika jijini Arusha Aprili 7, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiaga
wananchi wenye furaha baada ya kuzindua rasmi kwa nyumba za makazi ya
askari ya polisi za Naura zilizojengwa upya baada ya kuteketea kwa moto
kwenye sherehe zilizofanyika jijini Arusha Aprili 7, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akifurahia jambo na baasdhi ya wanafamilia wa Jeshi la Polisi baada ya
kuzindua rasmi kwa nyumba za makazi ya askari ya polisi za Naura
zilizojengwa upya baada ya kuteketea kwa moto kwenye sherehe
zilizofanyika jijini Arusha Aprili 7, 2018
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe
Magufuli akipokea saluti ya heshima baada ya kuwasili katika Uwanja wa
Sheikh Amri Abeid jijini Arusha kuadhimisha siku ya kumbukumbu ya
miaka 46 ya kifo cha Rais wa kwanza wa Zanzibar Hayati Sheikh Abeid
Amani Karume Aprili 7, 2018
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe
Magufuli akikagua gwaride la askari polisi katika Uwanja wa Sheikh Amri
Abeid jijini Arusha kuadhimisha siku ya kumbukumbu ya miaka 46 ya kifo
cha Rais wa kwanza wa Zanzibar Hayati Sheikh Abeid Amani Karume

Magufuli akikagua Kikosi cha bendi ya Jeshi la Polisi katika Uwanja wa
Sheikh Amri Abeid jijini Arusha kuadhimisha siku ya kumbukumbu ya miaka
46 ya kifo cha Rais wa kwanza wa Zanzibar Hayati Sheikh Abeid Amani
Karume Aprili 7, 2018

Magufuli akimaliza kukagua gwaride katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid
jijini Arusha kuadhimisha siku ya kumbukumbu ya miaka 46 ya kifo cha
Rais wa kwanza wa Zanzibar Hayati Sheikh Abeid Amani Karume Aprili
7, 2018
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe
Magufuli akisalimiana na Mstahiki Meya wa Jiji la Arusha Mhe. Calist
Lazaro alipowasili katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha
kuadhimisha siku ya kumbukumbu ya miaka 46 ya kifo cha Rais wa kwanza wa
Zanzibar Hayati Sheikh Abeid Amani Karume Aprili 7, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John
Pombe Magufuli akisalimiana na Kamishna wa Polisi Jamii nchini CP Mussa
Ally Mussa alipowasili katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha
kuadhimisha siku ya kumbukumbu ya miaka 46 ya kifo cha Rais wa kwanza
wa Zanzibar Hayati Sheikh Abeid Amani Karume Aprili 7, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John
Pombe Magufuli akipewa jarida la Jeshi la Polisi na IGP Simon Sirro
katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha kuadhimisha siku ya
kumbukumbu ya miaka 46 ya kifo cha Rais wa kwanza wa Zanzibar Hayati
Sheikh Abeid Amani Karume Aprili 7, 2018
Wote
wanasimama na kuimba wimbo wa Taifa katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid
jijini Arusha kuadhimisha siku ya kumbukumbu ya miaka 46 ya kifo cha
Rais wa kwanza wa Zanzibar Hayati Sheikh Abeid Amani Karume Aprili
7, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John
Pombe Magufuli na wahudhuriaji wote wakiimba wimbo wa Taifa katika
Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha kuadhimisha siku ya kumbukumbu
ya miaka 46 ya kifo cha Rais wa kwanza wa Zanzibar Hayati Sheikh Abeid
Amani Karume Aprili 7, 2018
Gwaride
la heshima kuadhimisha siku ya kumbukumbu ya miaka 46 ya kifo cha Rais
wa kwanza wa Zanzibar Hayati Sheikh Abeid Amani Karume likipita mbele
ya jukwaa kuu Aprili 7, 2018

Bendi
ya Jeshi la Polisi katika kuadhimisha siku ya kumbukumbu ya miaka 46
ya kifo cha Rais wa kwanza wa Zanzibar Hayati Sheikh Abeid Amani Karume
likitoa heshima mbele ya jukwaa kuu Aprili 7, 2018
Kikosi
cha pikipiki cha Jeshi la Polisi kikionesha namna kinavyopambana na
wahalifu wanaotumia usafiri huo katika kuadhimisha siku ya kumbukumbu
ya miaka 46 ya kifo cha Rais wa kwanza wa Zanzibar Hayati Sheikh Abeid
Amani Karume likitoa heshima mbele ya jukwaa kuu Aprili 7, 2018
Mmoja wa "wahalifu" akiwa anajaribu kujihami wakati akiandamwa na kikosi cha pikipiki
Mkurugenzi
wa Masoko Utafiti na Huduma kwa Wateja, Tully Mwambapa (wa pili
kushoto) akiongoza ujumbe mzito wa benki ya CRDB katika kuadhimisha
siku ya kumbukumbu ya miaka 46 ya kifo cha Rais wa kwanza wa Zanzibar
Hayati Sheikh Abeid Amani Karume Aprili 7, 2018. Benki hiyo ni mmoja wa wadhamini wakubwa wa ujenzi wa makazi ya askari polisi
Gari
maalumu la kunyunyizia maji ya kuwashawasha likionesha namna kikosi cha
kutuliza ghasia cha Jeshi la Polisi kinavyoweza kupambana na
waandamanaji katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha ikiwa ni
sehemu ya maadhimisho ya siku ya kumbukumbu ya miaka 46 ya kifo cha
Rais wa kwanza wa Zanzibar Hayati Sheikh Abeid Amani Karume Aprili
7, 2018
Askari
wa Jeshi la Polisi wa kikosi maalumu cha kulinda viongozi wakionesha
namna kinavyoweza kupambana na maadui katika Uwanja wa Sheikh Amri
Abeid jijini Arusha ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya
kumbukumbu ya miaka 46 ya kifo cha Rais wa kwanza wa Zanzibar Hayati
Sheikh Abeid Amani Karume Aprili 7, 2018
Askari
wa Jeshi la Polisi wa kikosi maalumu cha kulinda viongozi wakionesha
namna kinavyoweza kupambana na maadui katika Uwanja wa Sheikh Amri
Abeid jijini Arusha ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya
kumbukumbu ya miaka 46 ya kifo cha Rais wa kwanza wa Zanzibar Hayati
Sheikh Abeid Amani Karume Aprili 7, 2018
Askari
wa Jeshi la Polisi wa kikosi maalumu cha kulinda viongozi wakionesha
namna kinavyoweza kupambana na maadui katika Uwanja wa Sheikh Amri
Abeid jijini Arusha ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya
kumbukumbu ya miaka 46 ya kifo cha Rais wa kwanza wa Zanzibar Hayati
Sheikh Abeid Amani Karume Aprili 7, 2018
Askari
wa Jeshi la Polisi wa kikosi maalumu cha kulinda viongozi wakionesha
namna kinavyoweza kupambana na maadui katika Uwanja wa Sheikh Amri
Abeid jijini Arusha ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya
kumbukumbu ya miaka 46 ya kifo cha Rais wa kwanza wa Zanzibar Hayati
Sheikh Abeid Amani Karume Aprili 7, 2018
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe
Magufuli na viongozi wengine meza kuu wakipiga makofi wakati wa
maonesho ya vitendo ya vikosi vya kupambana na ghasia na kulinda
viongozi katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha kuadhimisha
siku ya kumbukumbu ya miaka 46 ya kifo cha Rais wa kwanza wa Zanzibar
Hayati Sheikh Abeid Amani Karume Aprili 7, 2018
Kikosi
maalumu cha kupambana na ugaidi kikionesha kazi zake katika Uwanja wa
Sheikh Amri Abeid jijini Arusha kuadhimisha siku ya kumbukumbu ya
miaka 46 ya kifo cha Rais wa kwanza wa Zanzibar Hayati Sheikh Abeid
Amani Karume Aprili 7, 2018
Kikosi
maalumu cha kupambana na ugaidi kikionesha kazi zake katika Uwanja wa
Sheikh Amri Abeid jijini Arusha kuadhimisha siku ya kumbukumbu ya
miaka 46 ya kifo cha Rais wa kwanza wa Zanzibar Hayati Sheikh Abeid
Amani Karume Aprili 7, 2018
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe
Magufuli na viongozi wengine meza kuu wakioneshwa na Kamishina wa
Operesheni na mafunzo wa Jeshi la Polisi (CP) Nsato Marijani nakala za
matokeo ya uchunguzi wa shambulizi la bomu wakati wa maonesho ya
mapambano na magaidi yaliyofanywa na vikosi maalumu vya jeshi la polisi
katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha kuadhimisha siku ya
kumbukumbu ya miaka 46 ya kifo cha Rais wa kwanza wa Zanzibar Hayati
Sheikh Abeid Amani Karume Aprili 7, 2018
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe
Magufuli na viongozi wengine meza kuu wakioneshwa na Kamishina wa
Operesheni na mafunzo wa Jeshi la Polisi (CP) Nsato Marijani nakala za
matokeo ya uchunguzi wa shambulizi la bomu wakati wa maonesho ya
mapambano na magaidi yaliyofanywa na vikosi maalumu vya jeshi la polisi
katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha kuadhimisha siku ya
kumbukumbu ya miaka 46 ya kifo cha Rais wa kwanza wa Zanzibar Hayati
Sheikh Abeid Amani Karume Aprili 7, 2018
Kikosi
maalumu cha kupambana na ugaidi kikionesha kazi zake katika Uwanja wa
Sheikh Amri Abeid jijini Arusha kuadhimisha siku ya kumbukumbu ya
miaka 46 ya kifo cha Rais wa kwanza wa Zanzibar Hayati Sheikh Abeid
Amani Karume Aprili 7, 2018
Kikosi
maalumu cha kupambana na ugaidi kikipita na kutoa heshiama jukwaa kuu
baada ya kuonesha kazi zake katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini
Arusha kuadhimisha siku ya kumbukumbu ya miaka 46 ya kifo cha Rais wa
kwanza wa Zanzibar Hayati Sheikh Abeid Amani Karume Aprili 7, 2018
Kwaya
ya Chuo cha Mafunzo cha Jeshi la Polisi kikitumbuiza katika Uwanja wa
Sheikh Amri Abeid jijini Arusha kuadhimisha siku ya kumbukumbu ya
miaka 46 ya kifo cha Rais wa kwanza wa Zanzibar Hayati Sheikh Abeid
Amani Karume Aprili 7, 2018
Kwaya
ya Chuo cha Mafunzo cha Jeshi la Polisi kikitumbuiza katika Uwanja wa
Sheikh Amri Abeid jijini Arusha kuadhimisha siku ya kumbukumbu ya
miaka 46 ya kifo cha Rais wa kwanza wa Zanzibar Hayati Sheikh Abeid
Amani Karume Aprili 7, 2018
Kwaya
ya Chuo cha Mafunzo cha Jeshi la Polisi kikitumbuiza katika Uwanja wa
Sheikh Amri Abeid jijini Arusha kuadhimisha siku ya kumbukumbu ya
miaka 46 ya kifo cha Rais wa kwanza wa Zanzibar Hayati Sheikh Abeid
Amani Karume Aprili 7, 2018
Mkuu
wa Mkoa wa Arusha Mhe. Mrisho Gambo akikaribisha wageni na kusoma
risala ya mkoa katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha
kuadhimisha siku ya kumbukumbu ya miaka 46 ya kifo cha Rais wa kwanza
wa Zanzibar Hayati Sheikh Abeid Amani Karume Aprili 7, 2018
Mkurugenzi
wa Masoko Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB Bi. Tully
Mwambapa katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha kuadhimisha
siku ya kumbukumbu ya miaka 46 ya kifo cha Rais wa kwanza wa Zanzibar
Hayati Sheikh Abeid Amani Karume Aprili 7, 2018
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe
Magufuli akijadiliana jambo na Waziri wa Mambo ya Ndani Dkt. Mwigulu
Nchemba na IGP Simon Sirro katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini
Arusha kuadhimisha siku ya kumbukumbu ya miaka 46 ya kifo cha Rais wa
kwanza wa Zanzibar Hayati Sheikh Abeid Amani Karume Aprili 7, 2018
Wakuu
wa Wilaya za mkoa wa Arusha wakiwa katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid
jijini Arusha kuadhimisha siku ya kumbukumbu ya miaka 46 ya kifo cha
Rais wa kwanza wa Zanzibar Hayati Sheikh Abeid Amani Karume l Aprili
7, 2018
IGP
Simon Sirro akihutubia katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha
kuadhimisha siku ya kumbukumbu ya miaka 46 ya kifo cha Rais wa kwanza
wa Zanzibar Hayati Sheikh Abeid Amani Karume Aprili 7, 2018
Naibu
Waziri wa Mambo ya Ndani Mhandisi Masauni akihutubia katika Uwanja wa
Sheikh Amri Abeid jijini Arusha kuadhimisha siku ya kumbukumbu ya miaka
46 ya kifo cha Rais wa kwanza wa Zanzibar Hayati Sheikh Abeid Amani
Karume Aprili 7, 2018
Waziri
wa Mambo ya Ndani Dkt. Mwiguli Nchemba akihutubia katika Uwanja wa
Sheikh Amri Abeid jijini Arusha kuadhimisha siku ya kumbukumbu ya miaka
46 ya kifo cha Rais wa kwanza wa Zanzibar Hayati Sheikh Abeid Amani
Karume Aprili 7, 2018
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe
Magufuli akiomba uwanja usimame kwa dakika kadhaa kumboleza kifo cha
Rais wa kwanza wa Zanzibar Hayati Sheikh Abeid Amani Karume Aprili
7, 2018
Maafisa waandamizi wa Polisi na wa JWTZ wakifurahia jambo wakati wa
hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu
Dkt. John Pombe Magufuli katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini
Arusha kuadhimisha siku ya kumbukumbu ya miaka 46 ya kifo cha Rais wa
kwanza wa Zanzibar Hayati Sheikh Abeid Amani Karume Aprili 7, 2018
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe
Magufuli akihutubua Taifa katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini

Magufuli akimpongeza IGP Simon Sirro kwa kujenga jeshi la polisi imara
wakati akihutubua Taifa katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini
Arusha kuadhimisha siku ya kumbukumbu ya miaka 46 ya kifo cha Rais wa
kwanza wa Zanzibar Hayati Sheikh Abeid Amani Karume Aprili 7, 2018
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe
Magufuli akihutubua Taifa katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini
Arusha kuadhimisha siku ya kumbukumbu ya miaka 46 ya kifo cha Rais wa
kwanza wa Zanzibar Hayati Sheikh Abeid Amani Karume Aprili 7, 2018
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe
Magufuli akihutubua Taifa katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini
Arusha kuadhimisha siku ya kumbukumbu ya miaka 46 ya kifo cha Rais wa
kwanza wa Zanzibar Hayati Sheikh Abeid Amani Karume Aprili 7, 2018
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe
Magufuli akihutubua Taifa katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini
Arusha kuadhimisha siku ya kumbukumbu ya miaka 46 ya kifo cha Rais wa
kwanza wa Zanzibar Hayati Sheikh Abeid Amani Karume Aprili 7, 2018
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe
Magufuli akihutubua Taifa katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini
Arusha kuadhimisha siku ya kumbukumbu ya miaka 46 ya kifo cha Rais wa
kwanza wa Zanzibar Hayati Sheikh Abeid Amani Karume Aprili 7, 2018
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe
Magufuli akipiga tumba katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha
baada ya kuhitimisha maadhimisho ya siku ya kumbukumbu ya miaka 46 ya
kifo cha Rais wa kwanza wa Zanzibar Hayati Sheikh Abeid Amani Karume Aprili 7, 2018. Picha na IKULU
No comments:
Post a Comment