
Baadhi ya Zawadi za benki ya CRDB tawi la Mlimani City jijini Dar es Salaam kwaajili ya washindi wa Akaunti ya Malkia.WAFANYAKAZI
wa benki ya CRDB tawi la Mlimani City jijini Dar es Salaam waadhimisha
siku ya wanawake kwa kutoa zawadi katika wodi la wanawake waliojifungua
kwa upasuaji pamoja na wenye kifafa cha mimba katika hospitali ya
Mwananyamala jijini Dar es Saalaam.
Akizungumza
na wafanyakazi wa benki hiyo Kaimu Mkurugenzi wa Benki ya CRDB tawi la
Malimani City, Adelpghina Barongo amasema kuwa wanawake wananchango
mkubwa sana ndio maana wameona umhimu wa kutoa zawadi kwenye wodi hiyo
kwana wanawake pia ndio wanaopata changamoto mbalimbali.
"Wanawake
wanamchango mkubwa pia ndio wanaopata chamgamoto mbalimbali ndio maana
tumeota tuwae zawadi japo kidogo wa akinamama ambao wapo hospitali"
Ametoa
wito kwa akinamama waliopo hospitali kufungua akaunti kwaajili ya
kujiwekea akiba kwani akaunti ya Malkia ni sawa na kibubu chenye dhamana
pamoja na faida.
"Wanawake
tujifunze kuweka akiba benki kuweka ndani hii haina ulizi wa pesa
kutokana na majamga mbalimbali ambayo yanaweza kujitokeza kama moto na
wizi akauti hii inaulizi tosha na madhibuti"Amesema Adelphina.
Benki ya CRDB yenye kauli mbiu ya siku ya Mwanamke Tanzania isemayo "Mwanamk na Malkia akaunti" pia kauli mbiu ya Kitaifa ni Kuelekea
Uchumi wa Viwanda: Tuimarishe Usawa wa Kijinsia na Uwezeshaji Wanawake
Vijijini”. hii inawaa nguvu benki hiyo kuendelea kuwaangalia wanawake
kwa jicho la karibu zaidi kwani wanajua mchango wa mwanamke kwa jamii.
Wafanyakazi
wa benki ya CRDB tawi la Mlima city wakiwa katika hospitali ya
Mwananyamala wakiwa tayari kutoa msaada katikawodi ya wanawake
waliojifungua kwa upasuaji na wenye kifafa cha mimba katika hospitali
hiyo ikiwa ni njia mojawapo ya kuwajali wanawake na watoto kuadhimisha
siku ya wananwake duniani ambayo hufanyika Machi nane kila mwaka.
Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya CRDB tawi la Mlimani City jijini Dar es Salaam wakiwa katika picha ya pamoja leo.
Wafanyakazi
wa benki ya CRDB tawi la Mlimani City jijini Dar es Salaam wakiwa
katika picha ya pamoja mara baada ya kukabidhi msaada wa vitu mbalimbali
katika hospitali ya Mwananyamala wodi ya wanawake waliojifungua kwa
upasuaji pamoja na wenye kifafa cha mimba.
Picha ya pamoja wafanyakazi wanawake wa benkiya CRDB tawi la Mlimani City jijini Dar es Salaam.
picha ya pamoja.
Kaimu
Mkurugenzi wa Benki ya CRDB tawi la Mlimani City, Adelphina Barongo
akimkabidhi zawadi mteja wa akaunti ya Malkia, Erasmina Massawe ikiwa ni
kwaajili ya kusheherekea siku ya mwanamke duniani ambayo hufanyika
Machi 8 kila Mwaka.
Mteja
wa Benki ya CRDB tawi la Mlimani City jijini Dar es Salaam akiwa na
zawadi yake mara baada ya kuzawadiwa na Benki ya CRDB.
Meneja
huduma kwa wateja wa benki ya CRDB tawi la Mlimani City, Lilian Lema
akimkabidhi mteja na Malkia wa benki hiyo, Victoria Fridoline zawadi
kwaajili ya kusheherekea siku ya wanawake duniani ambayo hufanyika kila
mwaka Machi 8.
Meneja
Msaidizi wa maendeleo ya Biashara wa benki ya CRDB tawi la Mlimani
City jijini Dar es Salaam, January Kirambata akimkabidhi mteja wa Malkia
Akaunti ya malkia katika benki hiyo ikiwa ni kusheherekea siku ya
Mwanamke duniani ambayo hufanyika Machi 8 kila mwaka.
Kaimu
Mkurugenzi wa Benki ya CRDB tawi la Mlimani City, Adelphina Barongo
akizungumza na wafanyakazi wa benki ya CRDB tawi la Mlimani City jijini
Dar es Salaam wakati wa kuadhimisha siku ya wanawake dunani ambayo
hufanyika kila Mwaka Machi nane.
Kaimu
Mkurugenzi wa Benki ya CRDB tawi la Mlimani City, Adelphina Barongo
akimkabidhi zawadi mteja wa tawi hilo na Malkia, Witnes Masawe ikiwa ni
kwaajili ya kuadhimisha siku ya wanawake duniani ambayo hufanyika Machi 8
kila mwaka.















إرسال تعليق