![]() |
| Wanyamapori aina Tembo wakiwa ndani ya Hifadhi ya Taifa Tarangire inayopatika kwenye mikoa ya Manyara na Arusha ni kivutio kikbwa kwa wageni wanaotembela hifadhi hiyo. |
![]() |
![]() |
| Wanyamapori aina Tembo wakiwa ndani ya Hifadhi ya Taifa Tarangire inayopatika kwenye mikoa ya Manyara na Arusha ni kivutio kikbwa kwa wageni wanaotembela hifadhi hiyo. |
![]() |
| Miti aina ya Mibuyu inaonekana kwa wingi na inaongeza mvuto kwenye hifadhi ya Taifa Tarangire. |
![]() |
| Kundi la Tembo likinywa maji ndani ya Hifadhi ya Taifa Tarangire. |
![]() |
| Pundamilia ni sehemu ya kivutio cha watalii wa ndani na nje ya nchi . |
![]() |
| Ndege aina ya Kanga |
![]() |
| Msururu wa magari ya watalii ukisubiri utaratibu wa malipo kwa njia ya kadi kuanza safari ya kutembelea hifadhi hiyo |
![]() |
| Watalii wakiwa ndani ya Hifadhi |

Post a Comment