Waziri
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye
Ulemavu, Mhe. Jenista Mhagama (katikati) akizungumza katika hafla fupi
ya kukabidhi vifaa mbalimbali vya watu wenye ulemavu katika Chuo Cha
Ufundi Cha Yombo kinachotoa mafunzo kwa Walemavu, Dar es Salaam jana ,
kulia ni Balozi wa Kuweit nchini Tanzania, Jasem Al-Najem.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira
na Wenye Ulemavu, Mhe. Jenista Mhagama akizungumza jambo mara
alipowasili katika chuo hicho.
Balozi wa Kuwait nchini, Jasem Al-Najem akizungumza jambo na Waziri
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye
Ulemavu, Mhe. Jenista Mhagama (wa kwanza kushoto), wakati mmoja wa
mwanafunzi wa Chuo hicho, Lenah Sauli alipokua akishona nguo
Mkufunzi Mkuu Msaidizi Regina Makotha (kulia) akizungumza kwa kuwapa ishara yale aliyokuwa akizungumza Waziri Mhagama
Wanafunzi
wa Chuo Cha Ufundi Cha Yombo kinachotoa mafunzo kwa Walemavu
wakiashiria kupiga makofi wakati walipokuwa wakipewa ishara na Mwalimu
wao, Mkufunzi Mkuu Msaidizi Regina Makotha (pichani hayupo) Waziri wa
Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye
Ulemavu, Mhe. Jenista Mhagama alipokuwa akizungumza nao
Balozi
wa Kuweit nchini Tanzania, Jasem Al-Najem akizungumza jambo katika
hafla fupi ya kumkabidhi, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera,
Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Jenista Mhagama (wa
pili kushoto) vifaa mbalimbali kwa watu wenye ulemavu ikiea ni msaada
kutoka serikali ya Kuweit, hafla iliyofanyika jana katika Chuo Cha
Ufundi Cha Yombo kinachotoa mafunzo kwa Walemavu, Dar es Salaam jana,
wakwanza kushoto ni Katibu Muhutasi wa Balozi na wakwanza kulia ni
Mkalimani wa Balozi, Abdallah Yahaya
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye
Ulemavu, Mhe. Jenista Mhagama akimkabidhi cherehani, Lenah Sauli
(kushoto)
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye
Ulemavu, Mhe. Jenista Mhagama akimvisha miwani mwanafunzi wa Chuo
hicho, Mandela Lamwai ambaye anasomea ufundi umeme
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye
Ulemavu, Mhe. Jenista Mhagama akimkabidhi mafuta maalumu ya kujipaka
kwa watu wenye ulemavu wa ngozi mwanafunzi wa Chuo hicho, Mandela Lamwai ambaye anasomea ufundi umeme, wa tatu kushoto ni Balozi wa Kuwait nchini Jasem Al-Najem

Post a Comment