NA
K-VIS BLOG/Khalfan Said
WAKATI
Mwaka 2017 ukifikia ukingoni taasisi mbaliombali nchini zimeanza kuwakusanya
watumishi wake na kufanya tathmini ya utendaji na kujadili namna ya kuzikabili
changamoto walizokutana nazo ili hatimaye kuongeza ufanisi mwaka ujao 2018.
Miongoni
mwa taasisi hizo ni Mwalimu Commercial Bank, (MCB), ambao wamekutana jijini Dar
es Salaam, ili kufanya tathmini ya kiutendaji na kuweka mikakati mipya
waingiapo mwaka 2018.
Wafanyakazi
hao kutoka idara mbalimbali wakiongozwa na Afisa Mtednaji Mkuu wa MCB, Bw.Ronald
Manongi pia walipatiwa semina kuhusu masuala mbalimbali ya kiuwajibikaji katika
maeneo tofauti kutoka kwa mtaalamu wa kujenga umoja kwa wafanyakazi ili kupata
matokeo bora, (Team building consultant), Elizabeth Wachuka.
Ili
kuonyesha ushirikiano wafanyakazi hao walibadilishana zawadi mbalimbali ambapo
kila mfanyakazi alimuandalia zawadi mfanyakazi anayemvutia zaidi kiutendaji.
Afisa Mtendaji Mkuu wa MCB, Bw.Ronald Manongi, akizunumza wakati wa semina hiyo jijini Dar es Salaam, Desemba 2, 2017
Wafanyakazi kwa utulizu kabisa wakisikiliza kilichokuwa kikizungumzwa.
Wafanyakazi kwa utulizu kabisa wakisikiliza kilichokuwa kikizungumzwa.
Wafanyakazi kwa utulizu kabisa wakisikiliza kilichokuwa kikizungumzwa.
Meneja Masoko, Bi. Rahma Ngassa
Mtaalamu wa kujenga umoja kwa wafanyakazi ili kupata matokeo bora, (Team building consultant), Elizabeth Wachuka. akitoa mada.
Wafanyakazi wakiwa kwenye kikundi wakijadiliana.
Mtaalamu wa kujenga umoja kwa wafanyakazi ili kupata matokeo bora, (Team building consultant), Elizabeth Wachuka. akitoa mada.
Picha ya pamoja.

Post a Comment