 |
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akihutubia wakati wa ufunguzi wa kongamano la nane
la mwaka la Bodi Wataalamu wa
Ununuzi na Ugavi(PSPTB) lililofanyika kwenye Kituo cha Kimataifa Cha Mikutano
Arusha (AICC).
|
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akihutubia wakati wa ufunguzi wa Kongamano la nane la mwaka la Wataalamu wa
Ununuzi na Ugavi lililofanyika kwenye Kituo cha Kimataifa Cha Mikutano
Arusha (AICC).
Sehemu
ya Wahudhuriaji wa Kongamano la nane la Mwaka la Wataalamu wa Ununuzi na
Ugavi wakimsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe. Samia Suluhu Hassan wakati wa Ufunguzi wa Kongamano hilo
lililofanyika kwenye kituo cha mikutano cha Kimataifa Arusha.
Post a Comment