MAKAMU WA RAIS ,SAMIA SULUHU HASSAN AWATAKA WATALAAMU WA UNUNUZI NA UGAVI KUZINGATIA MIIKO YA TAALUMA ZAO

Wajumbe  wa kongamano la nane la mwaka la Bodi ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) wakijiandikisha kwaajili ya kushiriki kongamano hilo kwenye Kituo cha Kimataifa Cha Mikutano Arusha (AICC).
Washiriki wa kongamano hilo wakiendelea na kuchukua dondoo muhimu.
Waziri wa Fedha na Mipango,Dk Philip Mpango(kulia) akifurahia jambo na wajumbe wa Bodi ya PSPTB.
Afisa Habari Mwandamizi,Shamim Ally akiongoza kongamano hilo.
Wajumbe wakifurahia jambo katika kongamano la wataalamu wa Ununuzi na Ugavi.
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya PSPTB,Godfred Mbanyi akisoma hotuba yake kwenye kongamano la wataalamu wa Ununuzi na Ugavi.

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa ufunguzi wa kongamano la nane
la mwaka la Bodi Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi(PSPTB) lililofanyika kwenye Kituo cha Kimataifa Cha Mikutano Arusha (AICC).
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa ufunguzi wa Kongamano la nane la mwaka la Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi lililofanyika kwenye Kituo cha Kimataifa Cha Mikutano Arusha (AICC).
 Sehemu ya Wahudhuriaji wa Kongamano la nane la Mwaka la Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi wakimsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan wakati wa Ufunguzi wa Kongamano hilo lililofanyika kwenye kituo cha mikutano cha Kimataifa Arusha.

Post a Comment

Previous Post Next Post