Keki ya wiki ya huduma kwa wateja ya benki ya CRDB tawi la Tegeta Kibo jijini Dar es Salaam.
Baadhi
ya wateja wa benki ya CRDB tawi la Tegeta kibo wakiseherekea pamoja
katika wiki ya huduma kwa wateja ambayo hufanyika kila wiki ya kwanza ya
mwezi Oktoba.
Wafanyakazi
wa Benki ya CRDB tawi la Tegeta Kibo jijini Dar es Salaam wakiwa katika
pcha ya pamoja wakiwa wanasheherekea wiki ya huduma kwa wateja ambayo
hufanyika kila wiki ya kwanza ya Oktoba kila mwaka.a kwa wateja.
Baaadhi ya Wafanyakazi
wanawake wa Benki ya CRDB tawi la Tegeta Kibo jijini Dar es Salaam
wakiwa katika picha ya pamoja wakati wakisheherekea wiki ya huduma kwa
wateja ambayo hufanyika kila wiki ya kwanza ya Oktoba kila mwaka.
Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Tegeta Kibo, Richard mkakala akikata keki pamoja na nwakilishi wa wateja wa CRDB tawi la Tegeta.
Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Tegeta Kibo, Richard mkakala akikata keki pamoja na nwakilishi wa wateja wa CRDB tawi la Tegeta.

Meneja
Mikopo wa Benki ya CRDB Tawi la Tegeta Kibo, Martha Ngowi akimpa zawadi
Mteja wa Benki ya CRDB tawi la Tegeta Kibo, William Silawe ikiwa
kusheherekea wiki ya huduma kwa wateja ambayo hufanyika kila wiki ya
kwanza ya mwezi Oktoba kila mwaka.
Meneja
Mikopo Microfinance wa Benki ya CRDB tawi la Tegeta Kibo, Thadeus
Tumaini akimpa zawadi Mteja wa Benki ya CRDB tawi la Tegeta Kibo,
William Silawe ikiwa kusheherekea wiki ya huduma kwa wateja ambayo
hufanyika kila wiki ya kwanza ya mwezi Oktoba kila mwaka.katikati ni Meneja Mikopo wa Benki ya CRDB Tawi la Tegeta Kibo, Martha Ngowi.
Sehemu ya mbele ya Biashara ya Duka la Vifaa vya ujenzi la Silawe GM General Tore Supply lililopo Tegeta jijini Dar es Salaam.
Mwonekano wa ofisi za benki ya CRDB Tawi la Tegeta Kibo jijini Dar es Salaam.
Meneja Mikopo wa Benki ya CRDB Tawi la Tegeta Kibo, Martha Ngowi na Meneja Mikopo Microfinance wa Benki ya CRDB tawi la Tegeta Kibo, Thadeus Tumaini wakimpa zawadi mteja wa Benki ya CRDB tawi la Tegeta Kibo na mmiliki wa duka la vifaa vya ujenzi la Eriki Hardware Tegeta jijini Dar es Salaam leo ikiwa ni kusheherekea wiki ya huduma kwa wateja.
Meneja Mikopo Microfinance wa Benki ya CRDB tawi la Tegeta Kibo, Thadeus Tumaini kulia na Meneja
Mikopo wa Benki ya CRDB Tawi la Tegeta Kibo, Martha Ngowi wakiwa
katika picha ya pamoja na mteja wa Benki ya CRDB tawi la Tegeta Kibo na
mmiliki wa duka la vifaa vya ujenzi la Eriki Hardware Tegeta, Richard
Machange jijini Dar es Salaam leo.
Meneja
Mikopo wa Benki ya CRDB Tawi la Tegeta Kibo, Martha Ngowi akimpa
zawadimwakilishi wa Elizabeti Kileo mmiliki wa kiwanda cha kuoka mikate
ikiwa kusheherekea wiki ya huduma kwa wateja.
Wafanyakazi wa kiwanda cha kuoka mikate wakiwa kwenye picha ya pamoja na Meneja Mikopo wa Benki ya CRDB Tawi la Tegeta Kibo, Martha Ngowi jijini Dar es Salaam leo.
Meneja Mikopo Microfinance wa Benki ya CRDB tawi la Tegeta Kibo, Thadeus Tumaini kulia na Meneja Mikopo wa Benki ya CRDB Tawi la Tegeta Kibo, Martha Ngowi
Meneja Mikopo Microfinance wa Benki ya CRDB tawi la Tegeta Kibo, Thadeus Tumaini kulia na Meneja Mikopo wa Benki ya CRDB Tawi la Tegeta Kibo, Martha Ngowi wakimpa zawadi mteja
wa Benki ya CRDB tawi la Tegeta Kibo na mmiliki wa duka la vyakula
mbalimbali Kawe jijini Dar es Salaam,Hashim Mngazija leo wafanyakazi wa
benki hiyo walipomtembelea ofisini kwake.



























إرسال تعليق