Mtendaji
Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) Dkt. Mussa Mgwatu (wa kwanza
kushoto) akitazama moja ya malighafi inayotumika katika ujenzi wa
maegesho mapya ya Lindi Kitunda unaondelea Mkoani Lindi. Maegesho hayo
yanatarajiwa kukamilika hivi karibuni na yatasaidia kwa kiasi kikubwa
kurahisisha huduma za usafiri wa majini katika eneo hilo.
Mtendaji
Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) Dkt. Mussa Mgwatu (wa kwanza
kushoto) akitoa maelekezo kwa mkandarasi anayejenga maegesho ya Lindi
Kitunda wakati alipokua akikagua maendeleo ya ujenzi huo Mkoani Lindi.
Maegesho hayo yanatarajiwa kukamilika hivi karibuni na yatasaidia kwa
kiasi kikubwa kurahisisha huduma za usafiri wa majini katika eneo hilo.
Mtendaji
Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) Dkt. Mussa Mgwatu (wa kwanza
kushoto) akitoa maagizo kwa mkandarasi anayejenga maegesho ya Lindi
Kitunda wakati alipokua akikagua maendeleo ya ujenzi wa maegesho hayo
Mkoani Lindi. Kulia ni Mtaalamu wa Uchumi kutoka wakala huo Edgar Ruta,
Mkurugenzi wa Ukodishaji Mitambo na Huduma za Vivuko Mhandisi Japhet Y.
Maselle na mkandarasi anayesimamia ujenzi huo Ndugu Evans Martin.
Maegesho hayo yanatarajiwa kukamilika hivi karibuni na yatasaidia kwa
kiasi kikubwa kurahisisha huduma za usafiri wa majini katika eneo hilo.
Mafundi
wa kampuni inayosimamia ujenzi wa maegesho ya kivuko Lindi Kitunda
wakiendelea na ujenzi wa maegesho hayo upande wa Kitunda mkoani Lindi.

Meneja
wa Wakala wa Barabara nchini (TANROADS) Mkoa wa Lindi Mhandisi Issack
Mwanawima (wa kwanza kulia) akisisitiza jambo wakati wa ukaguzi wa
ujenzi wa maegesho ya kivuko Lindi Kitunda mkoani Lindi, wanaomsikiliza
(wa pili kulia) ni Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA)
Dkt Mussa Mgwatu, Mkurugenzi wa Ukodishaji Mitambo na Huduma za Vivuko
wa wakala huo Mhandisi Japhet Y. Maselle, pamoja na wawakilishi mbali
mbali wa wakala huo. Ujenzi wa Maegesho hayo unatarajiwa kukamilika hivi
karibuni na utasaidia kwa kiasi kikubwa kurahisisha huduma za usafiri
wa majini katika eneo hilo
Mkandarasi
anayesimamia ujenzi wa maegesho ya Lindi Kitunda Ndugu Evans Martin (wa
kwanza kulia) akimuonyesha kitu Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na
Umeme (TEMESA) Dkt Mussa Mgwatu (wa kwanza kushoto) wakati wa ukaguzi wa
ujenzi wa maegesho hayo mkoani Lindi ambao unaendelea. Ujenzi wa
Maegesho hayo unatarajiwa kukamilika hivi karibuni na utasaidia kwa
kiasi kikubwa kurahisisha huduma za usafiri wa majini katika eneo hilo.
Mkurugenzi
wa Ukodishaji Mitambo na Huduma za Vivuko wa wakala wa Ufundi na Umeme
(TEMESA) Mhandisi Japhet Y. Maselle (wa tatu kulia) akitoa maelekezo kwa
mkandarasi anayesimamia ujenzi wa maegesho ya Lindi Kitunda wakati
alipokua akikagua maendeleo ya ujenzi huo mkoani Lindi, wa pili kulia
anayetazama ni Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) Dkt
Mussa Mgwatu. Ujenzi wa Maegesho hayo unatarajiwa kukamilika hivi
karibuni na utasaidia kwa kiasi kikubwa kurahisisha huduma za usafiri wa
majini katika eneo hilo.

إرسال تعليق