Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha
Mhe. Adam Kigoma Malima kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara Ikulu jijini Dar es
salaam Oktoba 28, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimpatia
nyenzo za kazi baada ya kumuapisha Mhe. Adam Kigoma Malima kuwa Mkuu wa
Mkoa wa Mara Ikulu jijini Dar es salaam Oktoba 28, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha
Mhe. Alexander Pastory Mnyeti kuwa Mkuu wa Mkoa wa Manyara Ikulu jijini
Dar es salaam Oktoba 28, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimkabidhi
nyenzo za kazi baada ya kumuapisha Mhe. Alexander Pastory Mnyeti kuwa
Mkuu wa Mkoa wa Manyara Ikulu jijini Dar es salaam Oktoba 28, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Mhe.Joackim
Leonard Wangabo kuwa Mkuu wa Mkoa wa Rukwa. Kabla ya uteuzi huu Bw.
Wangabo alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Nanyumbu na anachukua nafasi ya
Kamishna wa Polisi Zelote Stephen ambaye amestaafu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimkabidhi nyenzo za kazi baada ya kumuapisha Mhe. Joackim Leonard Wangabo kuwa Mkuu wa Mkoa wa Rukwa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Mhe. Robert
Gabriel Luhumbi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Geita. Kabla ya uteuzi huu Bw.
Luhumbi alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Korogwe na anachukua nafasi ya Meja
Jen. Ezekiel Kyunga ambaye amestaafu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimkabidhi nyenzo za kazi baada ya kumuapisha Mhe. Robert Gabriel Luhumbi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Geita.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Mhe Bw.
Gelasius Gasper Byakanwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mtwara. Bw. Byakanwa
alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai na anachukua nafasi ya Bi. Halima Dendego.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimkabidhi nyenzo za kazi baada ya kumuapisha Mhe Bw. Gelasius Gasper Byakanwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mtwara.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha
Mhe.Bi. Christine Solomon Mndeme kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dodoma kabla ya
kumbadilisha na kuwa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, kubadilishana na Dkt.
Bilinith Mahenge anayehamia Dodoma Ikulu jijini Dar es salaam Oktoba
28, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha
Mhe.Bi. Christine Solomon Mndeme baada ya kumuapisha kuwa Mkuu wa Mkoa
wa Dodoma kabla ya kumbadilisha na kuwa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma,
kubadilishana na Dkt. Bilinith Mahenge anayehamia Dodoma Ikulu jijini
Dar es salaam Oktoba 28, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Mhe.Bi.Suzana Mlawi kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo. Ikulu jijini Dar es salaam Oktoba 28, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimkabidhi
nyenzo za kazi baada ya kumuapisha Mhe.Bi.Suzana Mlawi kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo. Ikulu jijini Dar es salaam Oktoba 28, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Mhe. Dorothy Mwanyika kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi
Vingozi wakati wa hafla ya kuapishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Mhandisi Joseph Kizito Malongo kuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimmkabidhi nyenzo za kazi baada ya kumuapisha Mhandisi Joseph Kizito Malongo kuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Prof. Simon S. Msanjila kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Madini.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimkabidhi nyenzo za kazi baada ya kumuapisha Prof. Simon S. Msanjila kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Madini.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akimuapisha Dkt. Thomas Didimu Kashililah kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara
ya Kilimo Ikulu jijini Dar es salaam Oktoba 28, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimkabidhi
nyenzo za kazi baada ya kumuapisha Dkt. Thomas Didimu
Kashililah kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya KilimoIkulu jijini Dar es
salaam Oktoba 28, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Naibu Katibu Mkuu (Viwanda) – Ludovick J. Nduhiye
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimkabidhi nyenzo za kazi baada ya kumuapisha Naibu Katibu Mkuu (Viwanda) – Ludovick J. Nduhiye
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Mhe Dorothy Mwaluko kuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akikabidhi nyenzo za kazi baada ya kumuapisha Mhe Dorothy Mwaluko kuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Mhe. Butamo Kasuka Phillipo kuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimkabidhi nyenzo za kazi baada ya kumuapisha Mhe. Butamo Kasuka Phillipo kuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha kuwa Naibu Katibu Mkuu (Biashara na Uwekezaji) – Prof. Joseph Buchwaishaija
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiweka sahihi katika hati yake ya kiapo baadavya kumuapisha kuwa Naibu Katibu Mkuu (Biashara na Uwekezaji) Prof. Joseph Buchwaishaija
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Mhe Nicholaus B. William kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Ikulu jijini Dar es salaam Oktoba 28, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli baada ya kumuapisha Mhe Nicholaus B. William kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Ikulu jijini Dar es salaam Oktoba 28, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Bi. Susana Mkap a kuwa Naibu Katibu Mkuu (Utawala) - Wizara ya Fedha na Mipango.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimkabidhi nyenzo baada ya kumuapisha Bi. Susana Mkap a kuwa Naibu Katibu Mkuu (Utawala) - Wizara ya Fedha na Mipango.
Waapishwa wakila kiapo cha miiko ya maadili ya vingozi wa umma
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai akiongea machache
Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Juma akiongea
Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan akitoa nasaha zake
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiongea
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
Sehemu
ya viongozi waandamizi wa nyanja mbalimbali wakimsikiliza Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, Makamu wa
Rais Mhe Samia Suluhu Hassan, Spika wa Bunge la jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Job Ndugai, Jaji Mkuu Profesa Ibrahim Juma na Katibu Mkuu
kiongozi wakiwa katika picha ya kumbukumbu na viongozi wa mbalimbali
pamoja na wale aliowaapisha Ikulu jijini Dar es salaam Oktoba 28,
2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, Makamu wa
Rais Mhe Samia Suluhu Hassan, Spika wa Bunge la jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Job Ndugai, Jaji Mkuu Profesa Ibrahim Juma na Katibu Mkuu
kiongozi wakiwa katika picha ya kumbukumbu na viongozi wa mbalimbali
pamoja na wale aliowaapisha Ikulu jijini Dar es salaam Oktoba 28,
2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, Makamu wa
Rais Mhe Samia Suluhu Hassan, Spika wa Bunge la jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Job Ndugai, Jaji Mkuu Profesa Ibrahim Juma na Katibu Mkuu
kiongozi wakiwa katika picha ya kumbukumbu na viongozi wa mbalimbali
pamoja na wale aliowaapisha Ikulu jijini Dar es salaam Oktoba 28,
2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, Makamu wa
Rais Mhe Samia Suluhu Hassan, Spika wa Bunge la jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Job Ndugai, Jaji Mkuu Profesa Ibrahim Juma na Katibu Mkuu
kiongozi wakiwa katika picha ya kumbukumbu na viongozi wa mbalimbali
pamoja na wale aliowaapisha Ikulu jijini Dar es salaam .
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, Makamu wa
Rais Mhe Samia Suluhu Hassan wakiwapongeza viongozi aliowaapisha Ikulu
jijini Dar es salaam.
j47
na j488: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe
Magufuli, Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan wakiwapongeza viongozi
aliowaapisha Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipeana mikoo na naibu waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu anayeshughulikia walemavu Mhe Stella Alex Ikupa akiwa na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe Juliana Shonza
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimpongeza Mhe Nicholaus B. William aliyemuapisha kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Ikulu jijini Dar es salaam. Kulia ni mke wa Mhe. William Bi. Foster Mbuna.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiagana na
Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan baada ya kuwaapisha viongozi
mbalimbali Ikulu jijini Dar es salaam.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Augustine Mahiga akiteta jambo na Katibu Mkuu mpya wa wizara hiyo Prof. Adolf F. Mkenda (kati) na aliyekuwa Katibu Mkuu wizarani humo Dkt. Aziz Mlima. PICHA ZOTE NA IKULU




















































إرسال تعليق