Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha
Mhe. Issa Suleim Nassor kuwa balozi wa Tanzania nchini Misri Ikulu
jijini Dar es salaam Oktoba 5, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kimkabidhi
nyenzo za kazi baada ya kumuapisha Mhe. Issa Suleim Nassor kuwa balozi
wa Tanzania nchini Misri Ikulu jijini Dar es salaam Oktoba 5, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha
Balozi mpya wa Tanzania nchini Zambia Mhe. Abdulrahman Kaniki Ikulu
jijini Dar es salaam leo Oktoba 5, 2017 Abdulrhaman Kaniki kuwa balozi
wa Tanzania nchini Misri Ikulu jijini Dar es salaam Oktoba 5, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kimkabidhi
nyenzo za kazi baada ya kumuapisha Mhe. Abdulrahman Kaniki kuwa balozi
wa Tanzania nchini Zambia Ikulu jijini Dar es salaam Oktoba 5, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli balozi mpya
wa Tanzania nchini Misri Mhe. Issa suleiman Nassor na Mhe. Abdulrahman
Kaniki balozi mpya wa Tanzania nchini Zambia wakila viapo vya maadili ya
viongozi baada ya kuapishwa Ikulu jijini Dar es salaam Oktoba 5,
2017
Balozi
mpya wa Tanzania nchini Misri Mhe. Issa suleiman Nassor akiongea
machache baada ya kuapishwa Ikulu jijini Dar es salaam Oktoba 5,
2017
Blozi
mpya wa Tanzania nchini Zambia Mhe. Abdulrahman Kaniki machache baada ya
kuapishwa Ikulu jijini Dar es salaam Oktoba 5, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza
baada ya kumuapisha Mhe. Abdulrahman Kaniki kuwa balozi wa Tanzania
nchini Zambia Ikulu jijini Dar es salaam Oktoba 5, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza
baada ya kumuapisha Mhe. Issa Suleim Nassor kuwa balozi wa Tanzania
nchini Misri Ikulu jijini Dar es salaam Oktoba 5, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Waziri Mkuu
Mhe Kassim Majaliwa, Naibu Waziri wa mambo ya Nje Dkt. Suzan Kolimba,
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi, Katibu Mkuu wa Wizara ya mambo
ya Nje Dkt. Aziz Ponary Mlima na Viongozi wa vyombo vya ulinzi na
Usalama wakiwa katka picha ya pamoja na Balozi mpya wa Tanzania nchini
Zambia Mhe. Abdulrahman Kaniki na balozi mpya wa Tanzania nchini Misri
Mhe. Issa suleiman Nassor baada ya kuapishwa Ikulu jijini Dar es salaam Oktoba 5, 2017 
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Waziri
Mkuu Mhe Kassim Majaliwa wakiwa katka picha ya pamoja na Balozi mpya wa
Tanzania nchini Zambia Mhe. Abdulrahman Kaniki na maofisa waandamizi wa
Polisi Ikulu jijini Dar es salaam Oktoba 5, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Waziri
Mkuu Mhe Kassim Majaliwa pamoja na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali
Venance Mabeyo wakiwa katika picha ya pamoja na Balozi mpya wa Tanzania
nchini Misri Mhe. Issa suleiman Nassor Ikulu jijini Dar es salaam
Oktoba 5, 2017
Picha na IKULU


Post a Comment