Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli
akiwahutubia wakazi wa Nyakato nje kidogo ya jiji la Mwanza mara baada
ya kufungua kiwandaa cha Sayona Drinks ltd kilichopo Nyakato.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli
akiwasalimia wananchi wa Katikati ya jiji la Mwanza wakati akitokea
Nyakato.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli
akipiga makofi wakati mmiliki wa Kiwanda cha Sayona Drinks, Subhas Patel
alipokuwa akionesha bidhaa mojawapo ya kiwanda hicho.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli
akipiga makofi pamoja na Mke wake Mama Janeth Magufuli pamoja mbunge wa
Ilemela Angelina Mabula wakati Kwaya ya Makongoro ilipokuwa ikitumbuza
katika viwanja vya Mwatex Nyakato jijini Mwanza
Kwaya ya Makongoro ikitumbuiza
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli
akisikiliza kwa makini wimbo wa kwaya ya Makongoro kabla ya kuhutubia
mamia ya wananchi Nyakato mkoani Mwanza.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli
akiaagana na wananchi wa Nyakato mara baada ya kuwahutubia.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli
akielekea kuagana na Wananchi wa Nyakato mara baada ya kumaliza
kuwahutubia. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John
Pombe Magufuli akielekea kuagana na Wananchi wa Nyakato mara baada ya
kumaliza kuwahutubia.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli
akifungua kiwanda cha Sayona Drinks kilichopo Nyakato jijini Mwanza.
PICHA NA IKULU

إرسال تعليق