Kamishna
wa Usalama dhidi ya moto wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Jesuald
Ikonko, akimkabidhi kipeperushi chenye namba ya dharura 114 ya Jeshi la
Zimamoto na Uokoaji, Mkurugenzi wa Shirika la Viwango nchini (TBS),
Prof. Egird Mubofu (kulia), wakati wa Kikao cha kujadili uingizwaji wa
vifaa nchini vya kinga na tahadhali dhidi ya majanga ya moto, visivyo
kidhi viwango kilichofanyika Makao Makuu ya Shirika hilo, mapema leo
asubuhi, jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi
wa Shirika la Viwango nchini (TBS), Prof. Egird Mubofu (kulia),
akizungumza na Kamishna wa Usalama dhidi ya moto wa Jeshi la Zimamoto na
Uokoaji, Jesuald Ikonko, (kushoto) alipotembelea Makao Makuu ya Shirika
hilo, wakati wa Kikao cha kujadili uingizwaji wa vifaa nchini vya kinga
na tahadhali dhidi ya majanga ya moto, visivyo kidhi viwango
kilichofanyika Makao Makuu ya Shirika hilo, mapema leo asubuhi, jijini
Dar es Salaam.
Kamishna
wa Usalama dhidi ya moto wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Jesuald
Ikonko, akielekea katika ukumbi wa Mikutano kwa mazungumzo, akiwa
ameambatana na mwenyeji wake ambaye ni Afisa habari wa Shirika la
Viwango Tanzania (TBS), Bi. Neema Mtema (wapili kulia), pamoja na
Maafisa wa Jeshi mara baada ya kuwasili Makao Makuu ya Shirika hilo,
wakati wa Kikao cha kujadili uingizwaji wa vifaa nchini vya kinga na
tahadhali dhidi ya majanga ya moto, visivyo kidhi viwango kilichofanyika
Makao Makuu ya Shirika hilo, mapema leo asubuhi, jijini Dar es Salaam.
Kamishna
wa Usalama dhidi ya moto wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Jesuald
Ikonko, akimuelezea majukumu ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Mwenyekiti
wa Kikao Kaimu Mkuu wa Kitengo cha uhakiki (HCERT), Eng. Agnes Kiweru
ambaye hayupo pichani, wakati wa Kikao cha kujadili uingizwaji wa vifaa
nchini vya kinga na tahadhali dhidi ya majanga ya moto, visivyo kidhi
viwango kilichofanyika Makao Makuu ya Shirika hilo, mapema leo asubuhi,
jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi
wa Viwango wa Shirika la Viwango nchini (TBS), Bi. Edna Ndumbaro
(katikati), akitoa ufafanuzi kwa hatua walizozichukua kuhusiana na vifaa
vya Zimamoto, wakati wa Kikao cha kujadili uingizwaji wa vifaa nchini
vya kinga na tahadhali dhidi ya majanga ya moto, visivyo kidhi viwango
kilichofanyika Makao Makuu ya Shirika hilo, Kaimu Mkuu wa Kitengo cha
uhakiki (HCERT), Eng. Agnes Kiweru (kulia) mapema leo asubuhi, jijini
Dar es Salaam.Picha na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji
IMEANDALIWA NA KITENGO CHA HABARI NA ELIMU KWA UMMA-MAKAO MAKUU YA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI


إرسال تعليق