Pages

September 19, 2017

Mazishi ya watoto watatu waliofariki dunia baada ya kulipukiwa na bomu wilayani Monduli

 Wanafunzi wa shule ya msingi Nafcon wakiwa wamebeba majeneza yenye miili ya wanafunzi wenzao mara baada ya kuwasili nyumbani kutokea hospitali ya wilaya ya Monduli kabla ya mazishi  katika Kijiji cha Nafco kilichopo Kata ya Loksale wilayani Monduli, Mkoa wa Arusha 

 Waombolezaji kwenye mazishi hayo katika Kijiji cha Nafco kilichopo Kata ya Loksale wilayani Monduli, Mkoa wa Arusha 

 Ibada ya mazishi katika Kijiji cha Nafco kilichopo Kata ya Loksale wilayani Monduli, Mkoa wa Arusha 

Mkuu wa wilaya ya Monduli Mhe. Iddi Hassan Kimnta akifuatiwa na Brigedia Jenerali Athanasi Mbonye, Kamanda wa Brigedi ya Mbuni, na Brigedia Jenerali R.G. Hanti  pamoja na wajumbe wa kamati ya ulinzi na usalama wakiwa kwenye mazishi hayo.
 Mkuu wa wilaya ya Monduli Mhe. Iddi Hassan Kimnta akifuatiwa na Brigedia Jenerali Athanasi Mbonye, Kamanda wa Brigedi ya Mbuni, na Brigedia Jenerali R.G. Hanti  pamoja na wajumbe wa kamati ya ulinzi na usalama wakiwa kwenye mazishi hayo.
 Waombolezaji kwenye mazishi hayo katika Kijiji cha Nafco kilichopo Kata ya Loksale wilayani Monduli, Mkoa wa Arusha 
 Waombolezaji kwenye mazishi hayo katika Kijiji cha Nafco kilichopo Kata ya Loksale wilayani Monduli, Mkoa wa Arusha 
 Waombolezaji kwenye mazishi hayo katika Kijiji cha Nafco kilichopo Kata ya Loksale wilayani Monduli, Mkoa wa Arusha 
Brigedia Jenerali Athanasi Mbonye, Kamanda wa Brigedi ya Mbuni akitoa salamu za rambirambi kwa niaba ya jeshi kwenye mazishi hayo.

 Mkuu wa Wilaya ya Monduli Mhe. Iddi Hassan Kimanta akitoa rambirambi za serikali kwenye mazishi hayo  katika Kijiji cha Nafco kilichopo Kata ya Loksale wilayani Monduli, Mkoa wa Arusha baada ya shughuli ya kuaga miili hiyo katika Hospitali ya Wilaya ya Monduli. 
Mkuu wa wilaya ya Monduli Mhe. Iddi Hassan Kimnta akifuatiwa na Brigedia Jenerali Athanasi Mbonye, Kamanda wa Brigedi ya Mbuni, na Brigedia Jenerali R.G. Hanti  wakitoa heshima za mwisho kwa marehemu kabla ya mazishi.

 Wanafunzi wa shule ya msingi Nafcon wakiwa wamebeba  mauakwenye  mazishi  ya wenzao katika Kijiji cha Nafco kilichopo Kata ya Loksale wilayani Monduli, Mkoa wa Arusha.

 Askari wa JWTZ wakiwa wamebeba moja ya majeneza ya marehemu hao wakielekea makaburini kwa mazishi.

 Mkuu wa wilaya ya Monduli Mhe. Iddi Hassan Kimnta akiweka udongo kaburini
Mama mzazi wa marehemu Jonsoni akiweka mchanga kwenye kaburi la mwanae. Habari na picha zote na HD TEAM MEDIA

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...