Mwenyekiti wa umoja wa Vijana na mjumbe wa kamati kuu ya Chama Cha Mapinduzi,Sadifa Juma Khamisi akizungumza katika mafunzo elekezi kwa makatibu wa umoja wa Vijana wa CCM mikoa ya Tanzania bara na Visiwani katika ukumbi wa kamati kuu ofisi ndogo ya Lumumba Dar es salaam
Kaimu Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi, Shaka Hamdu Shaka akizungumza katika mafunzo elekezi
washiriki wa mafunzo elekezi wakifuatilia mafunzo
Mshiriki Katibu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi mkoa wa Kilimanjaro ndg; abdulrahim hamid akiuliza swali wakati wa Mafunzo
elekezi kwa makatibu wa umoja wa Vijana wa CCM mikoa ya Tanzania bara
na Visiwani katika ukumbi wa kamati kuu.(PICHA ZOTE NA FAHADI SIRAJI)

إرسال تعليق