Mwana
muziki wa muziki wa kizazi kipya Bongo Freva maarufu kwa jina la
Barnaba akifanya makamuzi ya nguvu kwa stage huku mashabiki wa muziki
wake wakimpokea kwa kushangilia jinsi anavyoenda nao sawa katika sherehe
ya kukalibisha awamu nyingine katika nyanja mbalimbali kwa wanafunzi wa
chuo cha Uhasibu jijini Mbeya..PICHA ZOTE NA MR,PENGO MICHUZI MEDIA.
Baadhi
ya wanafunzi na wapenda burudani wa jiji la Mbeya wakishangweka na
muziki mzuri kutoka kwa Barnaba boy aliyekuwa akiwapagawisha kwenye
stage usiku wa kuamkia leo katika ukumbi wa Tughimbe Jijini Mbeya.

إرسال تعليق